Search results

  1. GAZETI

    Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

    Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi. Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa na pale nikazama kwa mke wa mtu bila kujua (Nilidanganywa) hapo ndo nikakutana na hiyo kitu inaitwa...
  2. GAZETI

    Wale wa Kickass ni ipi mnatumia kwa sasa

    Nyingi zimepita kama Pirate bay, kat.ph na nyinginezo lakini nyingi zimefungiwa, Ipi inatumika 2024 bila kukudai Vpn na kukuletea vitu tofauti na ulivyoomba? Toka asubuhi najaribu jaribu bado sijafikia lengo.
  3. GAZETI

    Kwanini ndugu, jamaa na marafiki hawaheshimu biashara ya gari?

    Yaani ukimiliki gari la biashara basi kila mmoja katika hao niliowataja hujiita Staff Jambo la kushangaza kama kuna mmoja wao anamiliki Duka huwezi kuchukua bure hata penseli. Waungwana tujitahidi Kuheshimu biashara ya gari kama inavyoheshimiwa biashara yako ya Duka La dawa. USHAURI Kwa wale...
  4. GAZETI

    Rais Samia umetuteIekeza Wakulima wa Korosho?

    Kama kuna Kipindi mkulima wa Korosho amepitia au anapitia mateso mheshimiwa Rais basi ni hiki Kipindi chako, huenda kuna mambo mengi unadanganywa na hawa uliowafanya Kuwa wasaidizi wako. 1. Bei za korosho zinashushwa Kiholela bila sababu za msingi. 2. Vyama vikuu vya ushirika hususani Tanecu...
  5. GAZETI

    Kwanini watoto huadhibiwa kwa kuchapwa wanapokula kwa jirani?

    Mara nyingi naona watoto wakiadhibiwa kwa viboko ikibainika wamekula (kudowea) nyumba ya jirani, Kitendo hiki kinamfundisha nini mtoto? Je ni sahihi?
  6. GAZETI

    Rais Samia kuwa makini Tandahimba wamejiandaa kukudanganya

    Mheshimiwa Rais, uvundo ni mwingi ni wewe tu kuwa makini na watendaji wako wanaokusaidia huku. Moja ya mambo ambayo utakutana nayo ni miradi ya maji ambayo watendaji walijipangia bei ya Tsh 100 ambayo kimsingi haitambuliki kwenye nyaraka maalum huku bei rasmi ikiwa 50, hiyo 50 Wanajua wao jinsi...
  7. GAZETI

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mheshimiwa Rais, sisi wakulima wa zao la korosho ni miongoni mwa watu tusiosikilizwa na tunaopigwa danadana kwenye mambo mengi sana, Bila msaada wako hatuwezi kunusurika. Kwa nia safi Kabisa serikali imeamua kugawa Viuatilifu kwa wakulima lakini jambo la kushangaza ni kuwa havigaiwi kwa wakati...
  8. GAZETI

    Kwanini Mungu hatufunulii tukaujua ukweli kama yupo na njia gani tufuate?

    Sina shaka kuwa Kuumbwa au Uwepo wa dunia sio wa Nasibu, Vitu vingi nikiviangalia nauona uwepo wa Mtengenezaji au Muumbaji. Mfano nawaangalia viumbe kama ndege jinsi Rangi zao zilizonakshiwa vema kwenye manyoya yao naona nguvu na utukufu wa yule aliyepanga viwe na vikawa, sauti zao tofauti za...
  9. GAZETI

    Benki ya NMB Jirekebisheni, system yenu inatia shaka

    Sio mara moja nanunua vocha kwenye ATM halafu Vocha haifiki kwangu, tena napata risiti kuwa huduma imekamilika. Mwanzo nilidhani ile vocha itanifikia baadae lakini wapi. Je, kuna watumishi ambao sio waaminifu huwa wanaiba kwa mitindo hii?
  10. GAZETI

    Msaada: Mwenye Software hii ya Samsung A107 F U8 OS 10 Autopatch.

    Wakuu kama kuna anayeweza kunisaidia hiyo software please anisaidie.
  11. GAZETI

    Wakulima wagomea bei ya Korosho

    Mshtuko umewakuta wakulima baada ya Kuletewa bei ya Tsh 1680 kabla ya makato ambapo baada ya makato huenda mkulima ikamfikia 1380, Zoezi hilo la mauzo ya Korosho liliendeshwa wilayani Tandahimba katika kijiji cha Mitondi. Wakulima wamegomea bei hiyo hivyo korosho hazijauzwa leo.
  12. GAZETI

    Naiona Yanga ikifuzu makundi

    Hisia za wengi ni kuwa safari ya Yanga kufuzu makundi imeishia kwa Mchina la hasha! Naiona Yanga ikishinda Goli 3- 1 au 3-2 ugenini kwa wazee wa kubeti waweke GG, over 2.5 au Away win Hongera Yanga kwa kuingia makundi.
  13. GAZETI

    Kwako waziri wa Afya

    Bila kupoteza muda, Nashauri wauguzi (Manesi) Hususani wale wa upande wa Wajawazito na wazazi wapewe mafunzo maalum, Sijawahi kuona watu wa ovyo kama manesi wa Kitengo hicho, kuanzia upimaji mimba mpaka Uzazi, Juzi kama sio Kushikwa kuna mmoja ningemnasa vibao. Utaona ajabu wahudumu wa Baa wana...
  14. GAZETI

    SAMSUNG A12 Sm-127 Inanitoa jasho.

    Ni wiki ya Pili sasa kila ninavyojaribu kuflash inanisumbua wakati mwingine inasema Cant connect Port serial com au inaganda kwenye Super Img..... Nani ana Idea na hizi Simu?
  15. GAZETI

    Msaada Tunatumia nini baada ya Kickass kufungiwa?

    Kwa wale ambao tulikuwa tunapakua software mbalimbali tulikuwa tunatumia sana hii kitu nakumbuka muda fulani ilifungiwa, naomba msaada wenu wakuu baada ya kufungiwa tunatumia nini?
  16. GAZETI

    Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

    Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha. Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique. Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno. Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya...
  17. GAZETI

    Naomba Ushauri wa gari zuri la Kutembelea

    Wakuu nimeombwa ushauri wa gari zuri la kutembelea, Bajeti yake isizidi Mil.35. yaani Iwe 35M kuja chini. Binafsi si mtaalam, Anayehitaji ni Mkulima binafsi niliwaza angepata Double Cabin Toyota au Nissan lakini kwa nilizoziangalia nimekuta bei ikiwa Juu ya Bajeti, karibuni kwa ushauri ili nami...
  18. GAZETI

    Rais Samia, wakazi wa Mtwara hatuna Imani na Jeshi la Polisi

    Muheshimiwa Rais, Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu mali za watu haikuanza leo wala Jana na bila kufanya Reform ya Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara (huko...
  19. GAZETI

    Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

    Habari wakuu, Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake. Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto wa miaka takribani miwili na nusu au mitatu Kuletwa nyumbani na mkewe kwani wamekaa wastani wa miezi...
  20. GAZETI

    Hebu Jaribu kumshauri Rais Samia, watu gani wanafaa kwenye Baraza jipya la Mawaziri

    Binafsi natamani kuwaona hawa wawili wakiingia. 1.Charles Kimei. 2.Abdallah Chikota
Back
Top Bottom