SAMSUNG A12 Sm-127 Inanitoa jasho.

SAMSUNG A12 Sm-127 Inanitoa jasho.

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772
Ni wiki ya Pili sasa kila ninavyojaribu kuflash inanisumbua wakati mwingine inasema Cant connect Port serial com au inaganda kwenye Super Img..... Nani ana Idea na hizi Simu?
 
Tafuta hela ununue simu chief hizo ni dalili kwamba uko broke

Utani tu[emoji23][emoji23]
 
Nenda Youtube kwa Wazee wa Tutorial
 
I
Ni wiki ya Pili sasa kila ninavyojaribu kuflash inanisumbua wakati mwingine inasema Cant connect Port serial com au inaganda kwenye Super Img..... Nani ana Idea na hizi Simu?
Irudishe kwa mwenyewe aliyeibiwa
 
Back
Top Bottom