Wale wa Kickass ni ipi mnatumia kwa sasa

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Nyingi zimepita kama Pirate bay, kat.ph na nyinginezo lakini nyingi zimefungiwa, Ipi inatumika 2024 bila kukudai Vpn na kukuletea vitu tofauti na ulivyoomba? Toka asubuhi najaribu jaribu bado sijafikia lengo.
 
The way torrent inavyofanya kazi huwezi ifungia. Zote Kat na tpb bado zipo, ni kwamba tu jina halipo ila tracker zipo.

Hio inafanya kazi hakikisha tu una adblocker nzuri
Chief Kuna uwezekano wa intenet kupitia kingamuzi yaan kama una azami unatumia WI Fi Network

Nimeasikia za chini internet za dstv na Azam Zina kazi ila unatakiwa uwe na vifaa Fulani fulani
 
Chief Kuna uwezekano wa intenet kupitia kingamuzi yaan kama una azami unatumia WI Fi Network

Nimeasikia za chini internet za dstv na Azam Zina kazi ila unatakiwa uwe na vifaa Fulani fulani
😂😂😁...Wazee wa kupenda vitonga!
 
Chief Kuna uwezekano wa intenet kupitia kingamuzi yaan kama una azami unatumia WI Fi Network

Nimeasikia za chini internet za dstv na Azam Zina kazi ila unatakiwa uwe na vifaa Fulani fulani
Ipo satelite internet, hata hii unayosikia inatrend sasa starlink ni satelite internet, sema inategemea sasa hio satelite husika inakubali kutoa internet?

Kwa case ya kawaida kama Azam ama Dstv wewe una download tu, lakini hau upload chochote, ili utumie internet unahitaji vyote download na upload.

Pia hizi satelite zipo nyingi, kuna ambazo zipo mbali sana na ambazo zipo karibu na dunia, ambazo zipo karibu kama starlink zenyewe speed inakua kubwa ila ambazo zipo mbali speed ni ndogo.

Kifupi satelite internet sio bure, na pia sio nzuri compare na mobile data kama 4G/5G ama fiber. Watu wanatumia satelite maeneo ambayo hakuna internet nyengine.
 
Chief Kuna uwezekano wa intenet kupitia kingamuzi yaan kama una azami unatumia WI Fi Network

Nimeasikia za chini internet za dstv na Azam Zina kazi ila unatakiwa uwe na vifaa Fulani fulani
Nafikiri inatumika kwa ajili ya OTA updates/upgrades kwa ajili ya softwares za ving'amuzi vyao tu, sidhani kama inafaa kwa matumizi ya kawaida.. mtandao ukiwa unakubali downlink pekee afu uplink haifunction hapo hamna kazi..
 
Unaweza usiamin lakin jua tu kwamba

  • watu wavivu
  • watu wanaopenda vitonga

Ni watu wenye akili sana. Maana always wanaumiza kichwa kutafuta mbinu za kuepuka gharama na kufanya vitu kwa urahisi.
Tatizo ni kwamba wanatumia uwezo huu kwenye kushughulika ma mambo madogo madogooooo😂😂😂
 
Back
Top Bottom