Kwanini ndugu, jamaa na marafiki hawaheshimu biashara ya gari?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Yaani ukimiliki gari la biashara basi kila mmoja katika hao niliowataja hujiita Staff Jambo la kushangaza kama kuna mmoja wao anamiliki Duka huwezi kuchukua bure hata penseli.

Waungwana tujitahidi Kuheshimu biashara ya gari kama inavyoheshimiwa biashara yako ya Duka La dawa.

USHAURI
Kwa wale wanaofikiria kufanya biashara ya gari ni bora ufanye mbali na nyumbani, Binafsi nimeamua kuuza kigari changu na sasa niko na biashara ya Samaki ambao wanaheshimika.

NB. Hapa nakusudia wafanyabiashara wadogo wa magari.
 
hasara za kutanga mafanikio kwa ndugu jamaa na marafiki.moja wapo ni hii.
 
Back
Top Bottom