Acha upumbafu wako hawa jamaa ni vimeoHivi hizi changamoto huwa zinawachagua watu? Binafsi sijapata hizo shida mara zote, na nimekuwa mteja wa Nmb nikitumia hasa huduma zao za kifedha kwa njia ya simu. App yao ipo poa sana.
Nakuunga mkono, Mimi ni mtumiaji wa Nmb App kwa kweli sijawahi kutana changamoto.Hivi hizi changamoto huwa zinawachagua watu? Binafsi sijapata hizo shida mara zote, na nimekuwa mteja wa Nmb nikitumia hasa huduma zao za kifedha kwa njia ya simu. App yao ipo poa sana.
Hapo mpumbavu ni wewe. Ulitaka ashuhudie asiyoyaona?Acha upumbafu wako hawa jamaa ni vimeo
Ndio hasara ya kuwa mteja wa Benki ya makabwela 🤣🤣Sio mara moja nanunua vocha kwenye ATM halafu Vocha haifiki kwangu, tena napata risiti kuwa huduma imekamilika. Mwanzo nilidhani ile vocha itanifikia baadae lakini wapi.
Je, kuna watumishi ambao sio waaminifu huwa wanaiba kwa mitindo hii?