Rais Samia kuwa makini Tandahimba wamejiandaa kukudanganya

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Mheshimiwa Rais, uvundo ni mwingi ni wewe tu kuwa makini na watendaji wako wanaokusaidia huku. Moja ya mambo ambayo utakutana nayo ni miradi ya maji ambayo watendaji walijipangia bei ya Tsh 100 ambayo kimsingi haitambuliki kwenye nyaraka maalum huku bei rasmi ikiwa 50, hiyo 50 Wanajua wao jinsi walivyotumia, ujio wako umesababisha kuanzia jana bei ishushwe ghafla na kuwa Tsh 50, Tena na mabango yamewekwa hii yote ni kujikosha.

20230914_120428.jpg
 
Mheshimiwa Rais, uvundo ni mwingi ni wewe tu kuwa makini na watendaji wako wanaokusaidia huku. Moja ya mambo ambayo utakutana nayo ni miradi ya maji ambayo watendaji walijipangia bei ya Tsh 100 ambayo kimsingi haitambuliki kwenye nyaraka maalum huku bei rasmi ikiwa 50, hiyo 50 Wanajua wao jinsi walivyotumia, ujio wako umesababisha kuanzia jana bei ishushwe ghafla na kuwa Tsh 50, Tena na mabango yamewekwa hii yote ni kujikosha.View attachment 2750102View attachment 2750103
ujio wako umesababisha kuanzia jana bei ishushwe ghafla na kuwa Tsh 50, Tena na mabango yamewekwa hii yote ni kujikosha.

Kama kitengo kiko vizuri kitakuwa kimeshamfikishia taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeweka ushahidi wa bei ya 100,wewe umeweka ushahidi wa bei ya 50,watasema una majungu.
 
ujio wako umesababisha kuanzia jana bei ishushwe ghafla na kuwa Tsh 50, Tena na mabango yamewekwa hii yote ni kujikosha.

Kama kitengo kiko vizuri kitakuwa kimeshamfikishia taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna asilolijua maana hoja zote zipo ktk dokezo la intel.

Bahati nzuri hakuna wa kusema hilo.


Tatizo ni CCM
 
Back
Top Bottom