Search results

  1. Tape measure

    Nimekuwa bahili sasa nafurahia maisha

    Sijui nianzie wapi mim tokea nikiwa mdogo miaka 14 nilikuwa nashika pesa na watu wazima wakawa wananiomba 200, 500 nawapa. Nilipofikisha 17 nikawa nafanya mishe za utalii naingia baa nakutana na vijana wa miaka 30-40 wananiomba niwanunulie bia, viroba, fegi, mbege, sukari natoa. Ikawa ni...
  2. Tape measure

    Malaika wa Paradiso Mbingu ya tisa

    Natamani nianze taratibu kuendana na mitetemo ya kufikiri ya kawaida ya binadamu lakini sio malengo yangu kufanikisha kama ambavyo kila mtu angeweza kutamani iwe hivyo. Sikuwahi kufikiri kama ningeweza kukumbuka au kurudi tena katika hii jehanamu bandia inayoitwa dunia. Jehanamu halisi ipo ni...
  3. Tape measure

    2035 Jimbo la Ulaya Mkoa wa Tanzania

    Niko ndotoni nasafiri na mfano wa mtu mwenye pesa tukutane jumba lile. Mtazame Wakutoka Monduli mfano wa mtu mwenye kivuli. Mtazame mzee wa Msoga mfano wa mtu mwenye misuli. Mtazame mzee wa Iramba mfano wa mtu asiye na jeuri na mtu mzima wa Iramba mfano wa mtu mwenye bahati nzuri, kwanza achana...
  4. Tape measure

    Shamba la Maajabu

    Kwanza naenda kuongelea kitu serious kabisa ni shamba la maajabu ambalo hulimwa na wanaume tu. Hili shamba linapatikana kila mahali mjini, vijijini mpaka baharini. Kupata nafasi ya kulima hili shamba ni kama bahati sio mchezo mchezo. Uzuri wa hili shamba unaweza kulilima na kupanda muda wowote...
  5. Tape measure

    Uchawi Upo

    Kwanza niseme mimi nina uelewa mpana wa elimu dunia kuanzia theology, metaphysics na pia nmezunguka sehemu tofauti kwenye bara la ulaya na nchi za Asia hasa China. Wazungu nao wanatamaduni zao ambazo zina husisha imani kuna wengine wanaamini katika tarehe na siku fulani katika wiki katika...
  6. Tape measure

    Kuishi Tanzania kwa kigezo cha ndoa

    Naomba kujuzwa kwa Tanzania utaratibu unakuwaje kwa mtu kutoka ulaya ama nchi jirani kama uganda kenya au malawi akija tanzania akaolewa na mbongo au kupata mke wa Tz akamuoa anatakiwa kufuata njia gani kuweza kuendelea kubaki Tanzania. Source #1 Ninachojua Tanzania ina aina 3 za visa 1...
  7. Tape measure

    The truth for youths about Forex business

    The popularity of the international forex market has made it the largest financial market in the world. According to a 2019 BIS report, the daily volume of forex traded amounts to $6.6 trillion. Around 3.5% of the total turnover was retail in 2013 as per a report by BIS. The internet has...
  8. Tape measure

    SoC02 Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza Ujasiriamali

    Watu wengi sana wanatamani kufanya ujasiriamali kwa malengo tofauti tofauti ikiwemo kuwa na uhuru wa muda na kuongeza kipato, hata baadhi ya watu ambao wapo kwenye ajira hupendelea kukusanya mtaji ama kwenda kukopa kwenye taasisi za fedha kwa malengo ya ujasiriamali. Changamoto ni kwamba zaidi...
  9. Tape measure

    SoC02 Athari na Fursa za utajiri kwenye Teknolojia ya Intaneti

    Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti/mtandao ulianza mwaka 1966 na kupamba moto mwanzoni mwa mwaka 1999 hii ilibadilisha kabisa namna binadamu wanavyofanya shughuli zao na kufanya dunia kuwa kama kijiji. Kila vumbuzi zina madhara yake kwa kuwa kitu kinapokuwa kigeni huendelea kutumika na matokeo...
  10. Tape measure

    Fursa Fursa Fursa Kwa Vijana 18+

    Watu wengi sana wamekuwa wanachanganya maana ya neno fursa, mara utasikia ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndiyo fursa yenyewe....Ndio ni kweli kwani aliyekuita na yeye ameona fursa. Ngoja nianze taratibu unapoona fursa ya kufanya jambo fulani labda kutengeneza kiwanda, ukaweka mambo sawa...
  11. Tape measure

    Ajira zinazopatikana katika njia za Digitali (Freelancing Jobs)

    Freelancing jobs: Hizi ni kazi za mtandaoni ambazo mtu unafanya ukiwa katika ofisi yako ama nyumbani kwako zinaitwa freelancing jobs, ajira hizi unakuwa hujaajiriwa na mtu yeyote bali umejiajiri mwenyewe, kwa lugha nyepesi unaweza kuita kazi za mkataba/ contact jobs. Hapa ni wewe na mwenye kazi...
  12. Tape measure

    A friend with Satan's Soul

    A few years ago, I got a contract work in the sisal industry; we were about 120 new employees whom we were distributed to different zones in the country. I was placed at Kiboko center it was a very cold region with very few sunny days throughout the year. After one year of working, I planned...
  13. Tape measure

    Nahitaji kujua vigezo na masharti vya kujiunga Indriver

    Mwaka 2018 ilianzishwa kampuni ya usafiri ya tax kwa mkoa wa Mwanza Taxify baadae wakajiita BOLT, Madereva walihitajika kuhudhuria mafunzo ya siku moja, karibu na Rocky City Mall, waliohudhuria kipindi cha mwanzo walipata commission nzuri kila mtu alitamani kuwa tax driver mjini. Kwa Dar es...
  14. Tape measure

    Conversion of Scanned text pages into editable Document

    Habari wakuu Nina dokumenti za vitabu vya zamani kutoka maktaba ya mzee nahitaji kuvibadilisha kuwa katika microsoft word ili niweze kuhariri. mfano wa maandishi. Natambua teknolojia imekuwa kwa kasi sana, mtu haitajiki kufanya kazi nyingi kama zamani, sasa machine zimekuwa mbadala wa binadamu.
  15. Tape measure

    Tatizo la homa za mara kwa mara

    Wapedwa wanajukwaa, binti yangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi mitano, alizaliwa akiwa na afya tele kwa maana hakuwa na ugojwa wowote, mama yake alifanikiwa kumnyonyesha miezi sita ya mwanzo bila kumpa chochote, alipofikisha miezi sita alianzishiwa chakula na mama yake hajaacha kumnyonyesha...
  16. Tape measure

    Wasomi Tusife Moyo, Tukubali Mabadiliko

    Kwa sasa zimeongezeka nyuzi nyingi za wasomi hasa ngazi ya degree ya kwanza na ya pili kumaliza vyuo na kurudi mitaani pasipo na chochote cha kufanya kuwaongezea kipato na kugeuka kuwa watu wa masononeko, kujidharau, kulaumu sana, kupata magonjwa mbalimbali na mwisho kupoteza kujiamini kabisa...
  17. Tape measure

    Usiku niliotumia milioni 4 kimasihara

    Corona IPO tuendelee kuchukua tahadhari. Kwanza muda huu napandisha huu Uzi nimepozi grocery sio bar wala club sio sipendi kelele hapana! Basi tu life limechange sana mpaka nikipewa Gari ndogo kama vitz naona aibu kuiendesha bora nitembee ama nipande Boda ama mwendokasi. Picha yenyewe ni ndefu...
  18. Tape measure

    Wakongwe/wabobezi wakowapi ndio muda okoeni Jahazi

    Ni ukweli usio mithilika kuna members wengi kwa sasa wamebakia kuingia jamii forum kama guest ili hali wana ID Shida nini hali hii inawafanya wasome mada na michango bila kutoa yao mawazo kwa nini wanafanya hivyo? Wanahujumu kizazi cha kesho kutowapa ushauri na maarifa ya lazima kuijenga nchi...
  19. Tape measure

    Napenda sana upweke

    Zamani nilikuwa napenda sana kutuma message, ikafika kipindi nikaona message ni kupotezeana muda mtu akinitumia meseji mimi sijibu nampigia. Ukafika muda ata nikiwa na dakika za kupiga simu Sipigi simu. Pia nikikuta meseji na missed call isiyo na umuhimu ama namba mpya sipigi kabisa. Ikitokea...
  20. Tape measure

    Wadada wenye ngozi zenye madoadoa

    Sujui hivi viumbe nani aliwaroga ubongo na kuamini kuwa na ngozi nyeupe ni dili duniani. Kwa Tanzania kuna baadhi ya mikoa ukifika utawaonea huruma dada zetu miguu ina rangi nyeusi na nyeupe kama zebra hii hali hunichukiza sana hasa mikoa ya kigoma, morogoro, lindi na Ruvuma. Kilimanjaro...
Back
Top Bottom