forex

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Soko la forex tarehe 7/8 leo limeonesha wazi broker wameamua kuzima server au kuviruga kama betting za mpira

    Hali imekuwa mbaya jinsi dunia inavyozidi kugundua njia na mix AI inavyochochea ziada ya ku analysis taarifa. Kwa sasa makampuni yaliyotegemea a logarithmic kubwa yanaanza kufanya wazi kuchomoa betri wazi wazi. Masoko ya hisa,forex na mwenendo wa dunia umekuwa mgumu mpaka kufikia wazi wazi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  3. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

    ...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kamari zimeshanila pesa vya kutosha... sasa naona cha mwisho kiwe Forex

    Wakuu, Mimi ni mmoja wa wale watu ambao hawawezi kuja hapa kujifanya ni mkali wa kamari.kiukweli kamari imeshanila hela ya kutosha. nadhani wakamaria wote tunajua huu mchezo wetu mfano mdogo juzi niliwapa england kushinda nikaweka laki 9 na nusu nikala million 2.5 sasa jana argentina akanipiga...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuwaulize hawa wanaosema forex ni utapeli,Na wanajuwaje pesa za kigeni thamani yake ?.

    Kumsaidia muafrika ni ngumu sana kuwa wewe ni mjinga. Kwenye kipindi cha madini dotcom cha mtangazi East africa redio sikosei. Kuna makala aliweka kuhusu congo kutawaliwa na mtu ambaye hakufika congo mpaka anakufa ila aliwatesa sana kwa kutumia waafrika wenzake. Hapa JF kuna wakurupukaji...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Forex trading coach and mentor

    Habari, Baada ya kujifunza biashara ya forex kwa mda usiopungua miaka 8 hadi sasa bila mafanikio. Nimeona njia sahihi ya kufanikiwa katika biashara hii ni kupata watu sahihi wenye uzoefu na wenye mafanikio halisi katika biashara ya forex. Nakuja kwenu wana jamvi kwa yoyote aliye tayari kuwa...
  7. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

    Habari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada. Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa hii ya teknolojia ya kidigitali ya forex yamekuwa hafifu na yakupigwa sana vita. sababu ni nyingi...
  8. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

    ...
  9. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Forex imenifilisi, nauza monitor yangu 🙏 naombeni msaada wenu

    ...
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nimetapeliwa Milioni 5 na Tapeli wa Forex, watu wajihadhari. Mamlaka zichukue hatua

    Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari? Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi. Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla...
  11. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Forex Market Goes Electronic: What the EMS Really Means?

    When the Bank of Tanzania quietly launched its Electronic Matching System for the Interbank Foreign Exchange Market this week, everyone was talking about it. What they said was not that important. What is important is what it really means: a change in how Tanzania's financial system gets foreign...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

    Imenishangaza sana kuona kwa Tanzania YouTube Podcasts za kitapeli za forex trading ndizo zinakimbiza kwa views!
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Watu wa Forex , hii pullbacks strategy inaonekana ina faida sana, kuna mwenye uzoefu nayo?

    Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy. Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana. Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Forex ni kamari ya kimtandao: "Emmanuel Mpawe Tutuba (Governer Bank of Tanzania)"

    https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163 ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Africa: Tanzania’s Tourism Sector Hits $4 Billion, Surpasses Gold as Top Forex Earner

    https://atqnews.com/africa-tanzanias-tourism-sector-hits-4-billion-surpasses-gold-as-top-forex-earner/#:~:text=Africa:%20Tanzania's%20Tourism%20Sector%20Hits,Top%20Forex%20Earner%20%7C%20ATQ%20News
  16. M

    JamiiForums Tanzania Forex trading Vs cryptocurrency

    Habari wadau. Naomba kujua utofauti kati ya Forex trading na Cryptocurrency ili nijue nakaa wapi ili niwe vizuri zaidi
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Trading yangu ya kwanza ilikua KSH/TSH, hapa ndo utapata uelewa mzuri wa forex kuliko mentor uchwara

    Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8 nyuma nlianzaga kutrade ksh/tsh mpakani lakini ata nliondoka bado nliendelea kutrade mjini, issue iko...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Forex sio ngumu:fanya hivi ndio washikiria nchi ndio chawa wa CCM.

    Uwezi kulalamika pesa fulani au nchi imekuwa kikwakozo na biashara.Sasa Kuna watu ukiweka mada naomba washindane bei ya nyama ya ng’ombe kujibu mada tu. Maana inaweza kuwa betting
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara ya Uchumi, Sio Betting

    Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

    Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni. Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania...
Back
Top Bottom