Wadada wenye ngozi zenye madoadoa

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,972
3,510
Sujui hivi viumbe nani aliwaroga ubongo na kuamini kuwa na ngozi nyeupe ni dili duniani. Kwa Tanzania kuna baadhi ya mikoa ukifika utawaonea huruma dada zetu miguu ina rangi nyeusi na nyeupe kama zebra hii hali hunichukiza sana hasa mikoa ya kigoma, morogoro, lindi na Ruvuma.

Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, kagera hawana huo ujinga kwa kiasi kikubwa, wanaume mnaopenda ngozi nyeupe chukueni wale wa asili achaneni na hawa wa mikorogo kwani wanateseka sana kujichubua na hii hali huwasumbua mpaka wanakufa.

TFDA/TMDA ione namna ya kupambana.na hili janga kwa maslahi ya umma hivo vipodozi viondolewe inafika pahala waliojichubua wanatamani kurudia hali yao ya awali lakini inakua ngumu. Wengi waliojichubua nni STD 7 na form four tusiwatenge tuone namna ya kuwasaidia na wachache wasiojielewa unakuta ana Degree kabisa but kidogo waliosoma hawajichubui kwa kutumia Jiki na petroleum.

SUBIRA HAIVUTI BANGI HAINYWI NYAGI INAVUTA TU KHERI. Wanawake mnaochoma Sindano kukuza makalio na maziwa hamjielewi hivo ni vitu vya kupita ni muda tu anayekusifia atakuwacha nakumfuata mwanamke aliye Naturally. Kama role model wanu ni WEMA SEPETU ni utata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali hao wanawake sasa janga la Taifa ni wanaume wa Dar wanajichubua halafu wanadai eti wanakunywa maji mengi


Sent using IPhone X
 
Boss mind your Business, you don't need fund to start that Business.

Portfolio | 2020
 
Jamaa juzi tu katoka kumsifia Dokta zenabuu tena na tripu ile Zanzibar akasema anatamani kurudi tena kuona hiyo rangi ya taifa weupe ndiyo Dili mkeo akiwa nayo anauhakika kwenye Ajira nchini.
 
Back
Top Bottom