Wasomi Tusife Moyo, Tukubali Mabadiliko

Wasomi Tusife Moyo, Tukubali Mabadiliko

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,989
Reaction score
3,692
Kwa sasa zimeongezeka nyuzi nyingi za wasomi hasa ngazi ya degree ya kwanza na ya pili kumaliza vyuo na kurudi mitaani pasipo na chochote cha kufanya kuwaongezea kipato na kugeuka kuwa watu wa masononeko, kujidharau, kulaumu sana, kupata magonjwa mbalimbali na mwisho kupoteza kujiamini kabisa

Graduate tunafanya biashara wiki mbili tunaona hali ngumu ata mwezi bado kuisha tayari tumekwisha kukata tamaa tunaona haifai kitu ambacho sio kweli biashara inahitaji uvumilivu sana na bado inaweza ikafa kabisa ama ikadorora kwa muda mrefu ndio ikasimama na kuanza kukupa faida

Graduate anahudhuria interview 6 anakosa zote badala ya kuendeleza harakati anaanza kula kiapo kamwe siombi tena kazi? Sio sahihi. Tukubali maisha yamebadilika sana idadi ya watu imeongezeka na fursa zilizopo ni za ushindani tena sana.... Nilikuwa natafuta house girl rafiki ake na mke wangu akamwambia ana ndugu yake amemaliza form six 2018 aje amsaidie kazi yuko tayari Mimi nikamkataa kwa kusema hatoweza atakuwa na mambo mengi mshahara wenyewe ni 50 elfu.

Ikapita siku kama 2 jioni narudi home namkuta mdada mrembo wanapiga story na wife na madogo wanacheza cheza tu sebleni mara wife ananiambia yule msichana amekuja leo kumsalmia ndugu yake akaona aje hapa anaomba akae na sisi tusiporizishwa na utendaji kazi wake ataondoka nikaona isiwe tabu nikasema poa ...lengo la hii ni kuonyesha tu namna tulipofikia kwenye suala la ajira ni mtihani Leo hii form six leaver anashindana na darasa la saba na asiyesoma kabisa kupata nafasi ya house girl. Kwa sasa graduate wanaajiriwa kama wauzaji wa dukani na kuchunga mifugo kwa mshahara wa laki mpaka elfu 80 Tsh. Tena inamlazimu kuficha kiwango chake cha elimu asije kukosa kazi muajiri akakuogopa

Unaweza usiamini wewe uliye chuoni ama form six muda huu unajidai sijui unasoma PCM na jamii zake akina PCB, PGM, EGM, CBG tambua mtaani ni tofauti sana Graduate anatoka nyumbani asubuhi kabeba panga na sururu anaelekea kijiweni kutafuta dili na kusubiria kazi yeyote itakayojitokeza ndio tulikofika kwa sasa hali ni mbaya na ngumu sana na bado hiyo kazi unaweza kukosa ukarudi nyumbani huna kitu. Mrembo anaenda bar kutafuta nafasi ya kuwa Bar maid na anakosa kazi nafasi hakuna.

Mabadiliko tuanayoyapitia wasomi kwa Dunia kiujumla yanatisha kama jinamizi ni mateso sana kwa vijana kuzoea na kumudu maisha sababu ya utandawazi. Wasomi wanakuwa na mategemeo makubwa kupita uhalisia wakifika mtaani wanachanganyikiwa kwa kushindwa kuzalisha cent na elimu kubwa aliyopata

Nina mikasa mingi ya wasomi waliokata tamaa na kuonekana elimu haijawakomboa. Mfano mimi tabia yangu ya kusoma sana vitabu imenifanya nisikate tamaa na kuwa very positive person kitu ambacho kinafanya mtu uwe na Furaha, amani na uwezo wa kufanya jambo vixuri
Kukata tamaa kunasababishwa na vitu vingi changamoto ni namna gani unazimudu stress za maisha ama waliokuzunguka wanakusaidiaje usiwehukee.

Katika ushindani kukataliwa ni kawaida unachopaswa kufanya baada ya kushindwa jambo mfano biashara, mashindano ama usaili ni kujipanga na kuanza upya.

Napenda kujitolea mfano mimi binafsi kwani nina hustles nyingi sana plus kuchezea pesa Sana'a watu wengi ni ngumu kukiri kuwa wamewahi kutumia pesa ndivo sivyo

Nakumbuka nimefanya interview SUA Mara ya kwanza ilikuwa mwezi wa 4/2015 tulikuwa 9 akapata ndugu yangu sikuhuzunika tulifurahi pamoja Mara ya pili ilikuwa mwezi 9/2017 tulikuwa 10 interview ikarudiwa sababu some panel members were also referees of interviewed candidates na mwaka Jana mwezi wa 12 tulikuwa 33 anahitajika 1 kwenye interview ya written wakabaki 5 wenye above 50% Mimi nilikuwa wa 6 na alama 46.

Nimalizie tu kushinda usahili ni mchakato sio Bahati ile post baadae ikagundulika nilikatwa tu kimkakati sema nikakosa ushahidi report ya upelelezi aliiteka mtekaji inatia uchungu lakini ni hatua nzuri kupitia katika harakati za kuwa MTU bora zaidi wala hupaswi kurudi nyuma tambua maisha yana No No nyingi sana kuliko Yes tunatumia akili lakini kamwe usifosi sana kitu subiri muda wako utafika

Mwezi ule wa 12/2019 nikarudi na mfadhaiko sana wa nafsi sikukuu zote nikawa busy kuomba scholarships za kusoma njee kufikia February 2020 niliweza kuomba scholarship kibao zilizotolewa na wizara ya elimu www.moe.go.tz ikiwemo
Hungary, China embassy, Turkish embassy, Indian council of agriculture, Queen Elizabeth, Bangor university Distance learning Poland scholarship.

Mpaka sasa 2 zimetiki bado nasubiria majibu mengine ila angalau na matumaini mengine ya kubadili kabisa mwelekeo na ni fursa nzuri kuliko ata nafasi niliyokuwa napambania kwa badae naweza kupata tena zaidi ya nafasi niliyozani nimepotezewa.

Pia Shida nyingine sio kupata!!! Bali namna gani utatumia nafasi uliyopata kujenga fursa zaidi? Kuongeza connection zenye tija? Elimu utakayopata itanufaisha namna gani jamii yako? Wewe utabadilika kwa namna gani? Ukimaliza kusoma je utarudi kuwa mzigo kwa taifa lako? Hapa lazima uwe na mkakati unapopata scholarship sio kusoma tu!! Kutembea tembea nchini kwa watu tu bila mipango!! Kupiga selfie tu!!!

Kijana usikate tamaa endelea kupambana Nina story nyingi sana kuhusiana na interview na viroja vyake mwaka 2014 nilihudhuria interview ya Barric Gold Mining ilifanyikia Serena hotel DSM tulikuwa watu zaidi ya 400 tukafanya amplitude test total candidates waliokuwa wanahitajika ni 26

Majibu kutoka round 2 tukabaki 48 post yangu nikabaki na mdada so tulikuwa 2 kwenye oral interview ilifanyikia masaki nikapita bila kupingwa kilichofwata kazi sikupata Mimi internship akapewa yule Dada alikuwa ni mtoto wa balozi akafanya miezi michache akaenda nje kusoma ..... Nikawa nawasiliana nae bla blaa siku akaniambia I wish hii nafasi yako ningekuachia I am very sorry for you Kevi bla bla ikapitaga

Kisa kingine nilichokosaga ilikuwa ISEC ofisi zao zipo shoppers plaza kumbe walitakiwa kubalance gender interview ipo karibu mwishoni Jamaa nasikia anaambiwa itabidi apunguze wakaka ambawo tayari amesha wachagua japo wao bado hawajui kama Mimi na wengine ilikuwa bado hatujafanyiwa so automatic possibility ya kuchaguliwa mkaka kwa tuliobaki ikawa Zero.......mambo ni mengi mno

Kuhitimu chuo ni kitu kimoja na kuendelea kuwa msomi ni kitu kingine kabisa mfumo wetu wa maisha haujaanda utamaduni wa wahitimu wa vyuo kuendelea kuwa bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu,
Yaani Kama naiona kesho hivi
 
Sawa kevi tumeshakuelewa tutajipanga kufikiria nje ya box zaidi
 
Mpandishe wife cheo awe bi mkubwa huyo mrembo wa form6 awe bi mdogo. Unafeli wapi mkuu.

Wife anataka msaidizi kwenye kila sekta usidhani hakufikiria hayo. Unafeli vp kamanda!
nakazia
😃😃😃
 
Hiyo dunia uliyozunguka ni ipi? au unaokoteza okoteza habari za majalalani!

Wewe washauri tu hao wahitimu watafute njia mbadala ya kujiendesha kimaisha kutokana na serikali kushindwa kuwaajiri badala ya kujaza jaza vihabari mfu kuhalalisha ulaghai wako!

Oooh ulaya this, marekani sijui nini!! Kwanza hata sijamaliza kusoma huo upuuzi, sijui umeandika kitu gani!

Be honest! Hakuna ubaya katika kukubali udhaifu wa serikali. Hakuna serikali duniani iliyo kamilifu anyway.
 
hii formula ya SU- soma uajiriwe, kwa sasa haifunction kabisa japo wanafunzi wawapo mashuleni huitumia kujipa fahari...
 
Kwa sasa zimeongezeka nyuzi nyingi za wasomi hasa ngazi ya degree ya kwanza na ya pili kumaliza vyuo na kurudi mitaani pasipo na chochote cha kufanya kuwaongezea kipato na kugeuka kuwa watu wa masononeko, kujidharau, kulaumu sana, kupata magonjwa mbalimbali na mwisho kupoteza kujiamini kabisa

Graduate tunafanya biashara wiki mbili tunaona hali ngumu ata mwezi bado kuisha tayari tumekwisha kukata tamaa tunaona haifai kitu ambacho sio kweli biashara inahitaji uvumilivu sana na bado inaweza ikafa kabisa ama ikadorora kwa muda mrefu ndio ikasimama na kuanza kukupa faida

Graduate anahudhuria interview 6 anakosa zote badala ya kuendeleza harakati anaanza kula kiapo kamwe siombi tena kazi? Sio sahihi. Tukubali maisha yamebadilika sana idadi ya watu imeongezeka na fursa zilizopo ni za ushindani tena sana.... Nilikuwa natafuta house girl rafiki ake na mke wangu akamwambia ana ndugu yake amemaliza form six 2018 aje amsaidie kazi yuko tayari Mimi nikamkataa kwa kusema hatoweza atakuwa na mambo mengi mshahara wenyewe ni 50 elfu.

Ikapita siku kama 2 jioni narudi home namkuta mdada mrembo wanapiga story na wife na madogo wanacheza cheza tu sebleni mara wife ananiambia yule msichana amekuja leo kumsalmia ndugu yake akaona aje hapa anaomba akae na sisi tusiporizishwa na utendaji kazi wake ataondoka nikaona isiwe tabu nikasema poa ...lengo la hii ni kuonyesha tu namna tulipofikia kwenye suala la ajira ni mtihani Leo hii form six leaver anashindana na darasa la saba na asiyesoma kabisa kupata nafasi ya house girl. Kwa sasa graduate wanaajiriwa kama wauzaji wa dukani na kuchunga mifugo kwa mshahara wa laki mpaka elfu 80 Tsh. Tena inamlazimu kuficha kiwango chake cha elimu asije kukosa kazi muajiri akakuogopa

Unaweza usiamini wewe uliye chuoni ama form six muda huu unajidai sijui unasoma PCM na jamii zake akina PCB, PGM, EGM, CBG tambua mtaani ni tofauti sana Graduate anatoka nyumbani asubuhi kabeba panga na sururu anaelekea kijiweni kutafuta dili na kusubiria kazi yeyote itakayojitokeza ndio tulikofika kwa sasa hali ni mbaya na ngumu sana na bado hiyo kazi unaweza kukosa ukarudi nyumbani huna kitu. Mrembo anaenda bar kutafuta nafasi ya kuwa Bar maid na anakosa kazi nafasi hakuna.

Mabadiliko tuanayoyapitia wasomi kwa Dunia kiujumla yanatisha kama jinamizi ni mateso sana kwa vijana kuzoea na kumudu maisha sababu ya utandawazi. Wasomi wanakuwa na mategemeo makubwa kupita uhalisia wakifika mtaani wanachanganyikiwa kwa kushindwa kuzalisha cent na elimu kubwa aliyopata

Nina mikasa mingi ya wasomi waliokata tamaa na kuonekana elimu haijawakomboa. Mfano mimi tabia yangu ya kusoma sana vitabu imenifanya nisikate tamaa na kuwa very positive person kitu ambacho kinafanya mtu uwe na Furaha, amani na uwezo wa kufanya jambo vixuri
Kukata tamaa kunasababishwa na vitu vingi changamoto ni namna gani unazimudu stress za maisha ama waliokuzunguka wanakusaidiaje usiwehukee.

Katika ushindani kukataliwa ni kawaida unachopaswa kufanya baada ya kushindwa jambo mfano biashara, mashindano ama usaili ni kujipanga na kuanza upya.

Napenda kujitolea mfano mimi binafsi kwani nina hustles nyingi sana plus kuchezea pesa Sana'a watu wengi ni ngumu kukiri kuwa wamewahi kutumia pesa ndivo sivyo

Nakumbuka nimefanya interview SUA Mara ya kwanza ilikuwa mwezi wa 4/2015 tulikuwa 9 akapata ndugu yangu sikuhuzunika tulifurahi pamoja Mara ya pili ilikuwa mwezi 9/2017 tulikuwa 10 interview ikarudiwa sababu some panel members were also referees of interviewed candidates na mwaka Jana mwezi wa 12 tulikuwa 33 anahitajika 1 kwenye interview ya written wakabaki 5 wenye above 50% Mimi nilikuwa wa 6 na alama 46.

Nimalizie tu kushinda usahili ni mchakato sio Bahati ile post baadae ikagundulika nilikatwa tu kimkakati sema nikakosa ushahidi report ya upelelezi aliiteka mtekaji inatia uchungu lakini ni hatua nzuri kupitia katika harakati za kuwa MTU bora zaidi wala hupaswi kurudi nyuma tambua maisha yana No No nyingi sana kuliko Yes tunatumia akili lakini kamwe usifosi sana kitu subiri muda wako utafika

Mwezi ule wa 12/2019 nikarudi na mfadhaiko sana wa nafsi sikukuu zote nikawa busy kuomba scholarships za kusoma njee kufikia February 2020 niliweza kuomba scholarship kibao zilizotolewa na wizara ya elimu www.moe.go.tz ikiwemo
Hungary, China embassy, Turkish embassy, Indian council of agriculture, Queen Elizabeth, Bangor university Distance learning Poland scholarship.

Mpaka sasa 2 zimetiki bado nasubiria majibu mengine ila angalau na matumaini mengine ya kubadili kabisa mwelekeo na ni fursa nzuri kuliko ata nafasi niliyokuwa napambania kwa badae naweza kupata tena zaidi ya nafasi niliyozani nimepotezewa.

Pia Shida nyingine sio kupata!!! Bali namna gani utatumia nafasi uliyopata kujenga fursa zaidi? Kuongeza connection zenye tija? Elimu utakayopata itanufaisha namna gani jamii yako? Wewe utabadilika kwa namna gani? Ukimaliza kusoma je utarudi kuwa mzigo kwa taifa lako? Hapa lazima uwe na mkakati unapopata scholarship sio kusoma tu!! Kutembea tembea nchini kwa watu tu bila mipango!! Kupiga selfie tu!!!

Kijana usikate tamaa endelea kupambana Nina story nyingi sana kuhusiana na interview na viroja vyake mwaka 2014 nilihudhuria interview ya Barric Gold Mining ilifanyikia Serena hotel DSM tulikuwa watu zaidi ya 400 tukafanya amplitude test total candidates waliokuwa wanahitajika ni 26

Majibu kutoka round 2 tukabaki 48 post yangu nikabaki na mdada so tulikuwa 2 kwenye oral interview ilifanyikia masaki nikapita bila kupingwa kilichofwata kazi sikupata Mimi internship akapewa yule Dada alikuwa ni mtoto wa balozi akafanya miezi michache akaenda nje kusoma ..... Nikawa nawasiliana nae bla blaa siku akaniambia I wish hii nafasi yako ningekuachia I am very sorry for you Kevi bla bla ikapitaga

Kisa kingine nilichokosaga ilikuwa ISEC ofisi zao zipo shoppers plaza kumbe walitakiwa kubalance gender interview ipo karibu mwishoni Jamaa nasikia anaambiwa itabidi apunguze wakaka ambawo tayari amesha wachagua japo wao bado hawajui kama Mimi na wengine ilikuwa bado hatujafanyiwa so automatic possibility ya kuchaguliwa mkaka kwa tuliobaki ikawa Zero.......mambo ni mengi mno

Kuhitimu chuo ni kitu kimoja na kuendelea kuwa msomi ni kitu kingine kabisa mfumo wetu wa maisha haujaanda utamaduni wa wahitimu wa vyuo kuendelea kuwa bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika weee lakini hujaandika suluhisho.

Hats ukipata hiyo scholarship utarudi Hapa na Mambo utayakuta hivi hivi.

Na unaposema Kuna kazi za darasa la 7 unamaanisha Nini?
 
Kama umeandika kwa experince na si blah blah basi hali ni mbaya sana huko nje ya uhalisia
 
Uko sahihi,sema nini..wengi hapa mawazo yao yako kwa huyo binti,tayari washawaza kula kimasihara🤠
 
Ushauri mkimaliza vyuo tafuteni mbadala life sio hivo mnavowaza
 
Sure mkuu!, nilimaliza chuo 2017 nimepiga intavyuu tatu tuu... moja ya utumishi nikatoboa mpaka oral tulikuwa watu wa 5 position moja kazini wameitwa 3.

Nikaamua kuachana na mambo ya kutafuta ajira..nikaamua kujiajiri napiga kazi zangu maisha yanatembea mdogo mdogo tunasomesha ndugu zetu kupitia kujiajiri..

Graduates tujitahidi kufikiria nje ya box. Tusikariri kuajiriwa.

Kwenye .azingira tunayoishi kuna fursa nyingi sana, online nako kuna fursa nyingi sana uamuzi wako tu ..amua sasa umiza kichwa
Ushauri mkimaliza vyuo tafuteni mbadala life sio hivo mnavowaza
 
Mpandishe wife cheo awe bi mkubwa huyo mrembo wa form6 awe bi mdogo. Unafeli wapi mkuu.

Wife anataka msaidizi kwenye kila sekta usidhani hakufikiria hayo. Unafeli vp kamanda!
Kwa mtiririko wake, upo sahihi kuutoa huo ushauri mkuu.
 
Back
Top Bottom