Conversion of Scanned text pages into editable Document

Conversion of Scanned text pages into editable Document

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,989
Reaction score
3,690
Habari wakuu
Nina dokumenti za vitabu vya zamani kutoka maktaba ya mzee nahitaji kuvibadilisha kuwa katika microsoft word ili niweze kuhariri.
mfano wa maandishi. Natambua teknolojia imekuwa kwa kasi sana, mtu haitajiki kufanya kazi nyingi kama zamani, sasa machine zimekuwa mbadala wa binadamu.

1621655812074.png


1621655894596.png
 
Tafuta app yoyote yenye OCR (Optical Character Recognition). Hizi zina uwezo wa kutambua herufi katika picha uliyopiga then unaweza kuipeleka katika Microsoft Word ukaendelea kufanya editing. Kwa mfano, you can check this one out OCR Text Scanner.
 
Back
Top Bottom