Search results

  1. The patriot man

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina bwana angu nampenda" "Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
  2. The patriot man

    Ni bora ukae single kuliko kuoa mwanamke wa aina hii

    Mimi kwa umri wangu nina uzoefu wa wanawake, ime date na wanawake wasiopungua 50 hii sio sifa wala sio kitu kizuri Mwenyezi Mungu anisamehe. Nimeanza ku sex kwa mara ya kwanza 1999. Nirudi kwenye mada kutokana na uzoefu wangu nimedate na kila sampuli ya wanawake wengine short period na long...
  3. The patriot man

    Mwanamke anaweza kuwa Baraka katika maisha yako soma kisa changu

    Wakuu kwema? Mimi ni kijana umri wangu ni 34years niliajiriwa nikiwa na umri Wa miaka 28 baada ya kuajiriwa nikaishi home miezi 9 nikaenda kupanga ila sio mbali sana na home nikawa huru. Nikawa ni mtu Wa mademu hivo yaani geto nilihamia na kitanda, godoro, jiko la gesi na vyombo vyote hivi...
  4. The patriot man

    Wakuu naombeni msaada, nichukue router ipi kati ya hizi?

    wakuu kwema hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi naishi Tabata segerea.
  5. The patriot man

    Tarehe ya kuzaliwa imenipa mwanmke wa ndoto yangu

    Wakuu kwema? Kuna mtoto mmoja hivi wa kishua kweli kweli alinipaga namba mwenyewe sasa baada ya ziku 3 nikaji race nikaanza kumwambia nakupenda nataka nikuoe akanitolea nje nikavunga niakendelea na life. Siku yangu ya kuzaliwa nika post status kuwa aka view ana ni wish akaniambia nimezaliwa...
  6. The patriot man

    Daah nimeshaliwa nauli yangu

    Kwema wakuu Leo nilikua na miadi na pisi ikaniambia nimtumie nauli aje daah.. nikatuma tokea saa 3 asubuhi mpaka mda huu hapa pisi haijatokea na simu hapokei. Ngoja nifanye mambo mengine tuu Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  7. The patriot man

    Hali kama hii ikiwakumba huwa mnafanyeje

    Hope mko poa Aisee mpaka najishanga now days siku za karibuni mara nyingi nakuwa moodless yaani nakuwa na kisirani haswa, sijisikii kuongea na mtu mpaka job na watu wa karibu yangu wanaanza kunishangaa. Sina shida na hela ila sina nyingi nina za kuendesha tuu maisha yangu. Sina mpenzi...
  8. The patriot man

    Nina miaka 6 na miezi mitano sijawahi kuumwa

    Habari ndugu zangu Hiii ni hali ya kawaida kwa binadamu kweli yaani miaka yote hiyo sijawahi umwa hata tumbo, naomba kuuliza ni hali ya kawaida?
  9. The patriot man

    Nikaushe au nimsamehe? Ushauri wako muhimu

    Habari wakuu Nina mpenzi wangu tuna mahusiano zaidi ya mwaka lakini haipiti week mbili bila kugombana Yaani lazima tuu tugombane na visirani sana tena sana , unaweza ukampigia simu hapokei au anakata unatumia message hajibu au akakujibu kwa kuchelewa. Sasa kuna kipindi juzi juzi hapa nikatumia...
  10. The patriot man

    Marejesho ni zadi ya miezi miwili kila nikiamka natamani kuoa

    Wakuu kwema naimani mko poa. Nililetaga uzi wangu hapa kuwa kila mda nilikua nawaza kuoa. Sasa nilikua na Girlfriend wangu wa kitambo nikamcheki tukachati chati nikamsetisha akakubali nikamtumia nauli ya kutoka Arusha kuja dar akaja dar tukawa tunaishi wote hapo kumbuka sijamuambia kuwa nataka...
  11. The patriot man

    Usiwe na matarajio makubwa kwenye jambo lolote, hii itakufanya uwe na amani

    Wakuu kwema? Nina jambo nataka ni share na ninyi nina experience nalo na pia kuna watu watakua wana experience nalo pia. Ipo hivi kwenye maisha hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama dissappointment yaani na dissapointment inasababishwa na matarajio hasi ya gafla ambayo pengine kwa wakati huo...
  12. The patriot man

    Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

    Hello guys, Hivi unajua kwamba mwanamke akiwa anakupenda ukimsifia wewe ni mzuri huwa anafurahi? Hata sauti yake huwa inabadilika. Ila kama hakupendi ukimsifia anaona kama unamkera, so mwaume mwenzangu chukua hii itakusaidia sana. Kama upo nae karibu angali facial expresssion, ila kama yuko...
  13. The patriot man

    Ushauri: Ni zaidi ya miezi miwili kila siku nikiamka natamani kuoa

    Wakuu kwema? Wakuu mimi ni kijana nina miaka 30 na pia nimuajiriwa na naishi peke yangu kwa zaidi ya miaka miwili. Sina biashara nyingine zaidi ya ajira ila kuna vikazi vidgo dogo vya computer huwa nafanyaga vinanipa hela. Nimekua kwenye mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti. Mimi sio...
  14. The patriot man

    Kaniambia tuachane ila bado nampenda ushauri wako muhimu

    Hope mko poa, Wakuu kuna situation imenitokea aisee sielewi kuna binti nampenda sasa juzi juzi tuu hapa tukapishana kauli kisa nilimkaripia mbele za watu na mambo flani hivi. Dah binti kanitumia message tuachane sikujibu nikambembeleza wewe yakaisha ila bado akawa hayupo sawa simu hapokei...
  15. The patriot man

    Kwenye mapenzi jitahidi uwe mvumilivu na mwelewa, usikurupuke soma kisa changu

    Kwema wana Jf Mwaka huu january nilipataga demu mmoja hivi pisi kali sana wa Arusha nikamuomba namba akanipa . Hapa nilikua sijawahi kuiona kabisa sura yake ila ni picha tuu na story tukawa tunapiga sana story nikamuelewesha akakubali tukawa wapenzi rasmi mahaba kama yote na video call. Mwezi...
  16. The patriot man

    Wanawake wa Arusha ni kisanga

    Hope mko poa, Mimi Arusha ndio home, naishi Lemara ila kwa sasa nipo Dar es salaam. Hii sikuku ikabidi niende tuu home Jumamosi, nilikuwa pande za Njiro bar moja inaitwa blacklist tulikuwa na washakaji na makachori (wanawake) wakali laana, wako wa 4 masela tupo 3. Tukatafuta chimbo aisee...
  17. The patriot man

    Hii ndio njia pekee ya kumpata mwanamke

    Wakuu kwema, Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano. Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo jitahidi saana kipindi cha mwanzo uwe una mjali sana yaani uwe unampa pesa na muda wako hili ni muhimu...
  18. The patriot man

    Why i don't feel anything when people die?

    We have been told to be sad about death, but I have never felt sadness when a close one dies. I usually induce myself into an emotional state of expressing sadness, out of respect for people around me. But you can say in a sense it is acting, because I don’t know what else to do. I am able to...
  19. The patriot man

    Msaada magari ya IT ya kwenda Mwanza usiku

    Wadau naomba mtu anayefahamu magari ya kwenda Mwanza usiku.
  20. The patriot man

    Je, ni ustarabu au ni ujinga?

    Kwema wakuu Mimi na wewe huwa tunanuka jasho au baadhi yetu midomo lakini ni mara chache saana kukuta mtu anamuambia mwenzake kuwa unanuka jasho au mdomo sijui kwa nini? Badala yake tunakaa kimya tukivumilia harufu kali pasipo kumuambia mhusika lakini cha ajabu mtu anatoka hapo ataenda...
Back
Top Bottom