Ni bora ukae single kuliko kuoa mwanamke wa aina hii

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
968
1,064
Mimi kwa umri wangu nina uzoefu wa wanawake, ime date na wanawake wasiopungua 50 hii sio sifa wala sio kitu kizuri Mwenyezi Mungu anisamehe.

Nimeanza ku sex kwa mara ya kwanza 1999.

Nirudi kwenye mada kutokana na uzoefu wangu nimedate na kila sampuli ya wanawake wengine short period na long relationship mpaka sasa bado sijaoa.

1. Mwanamke Mfupi
2. Mwanamke mwenye Mtoto
3. Mwanamke anayependa kujikweza

Ni hayoo tuu.
 
50!!!??
Sasa wanawake wafupi waende wapi?
Hawakutaka kuzaliwa hivyo,tabia na kimo wapi na wapi.

Single mothers si ninyi ndio mliwapa mimba mkawaruka,sasa mnawaona wabaya!

Wale wa kujikweza ni utoto tu,wacha apate mtoto atulie,kuna vitu watu hulearn in a hard way.

Ama kweli soko ni chafu!
 
Mimi kwa umri wangu nina uzoefu wa wanawake, ime date na wanawake wasiopungua 50 hii sio sifa wala sio kitu kizuri Mwenyezi Mungu anisamehe.

Nimeanza ku sex kwa mara ya kwanza 1999.

Nirudi kwenye mada kutokana na uzoefu wangu nimedate na kila sampuli ya wanawake wengine short period na long relationship mpaka sasa bado sijaoa.

1. Mwanamke Mfupi
2. Mwanamke mwenye Mtoto
3. Mwanamke anayependa kujikweza

Ni hayoo tuu.
Kwa akili hizi nani atakubali kuolewa na wewe?
 
Back
Top Bottom