Hali kama hii ikiwakumba huwa mnafanyeje

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
968
1,064
Hope mko poa

Aisee mpaka najishanga now days siku za karibuni mara nyingi nakuwa moodless yaani nakuwa na kisirani haswa, sijisikii kuongea na mtu mpaka job na watu wa karibu yangu wanaanza kunishangaa.

Sina shida na hela ila sina nyingi nina za kuendesha tuu maisha yangu.

Sina mpenzi anayenisumbua,
Sina madeni ila nashangaa hii hali inanitokea mara kwa mara nakua na moodswing

Halafu mimi ni wa kiume, nilijua hii hali inawatokea sana wanawake.

Naomba msaada najitoaje hukuu mpaka naona mpenzi wangu anaanza kulalamika nimekuwa mtu wa kufoka foka na kutokujali.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
"sina mpenzi "

"Badae mpenzi wangu anaanza kulalamika"

Moods futeni hizi takataka za uongo
 
Ushauri wangu... katika hali kama hiyo
Tafuta mtu ambaye ukiongea nae unapata furaha then fanya hivo.
Jichanganye sana
 
FB_IMG_16961917499899238.jpg
 
Ingia Gym nyanyua vyuma na ufanye mazoezi kwa week mara 4.
Tafuta marafiki wa kiume waliofanikiwa zaidi yako kaa nao wakubadilishe mawazo.
Pia anzisha side hustle kama kufuga au kulima au ufundi bomba au chochote tu mbali na kazi yako.
 
Back
Top Bottom