natamani kuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Natamani kuoa, lakini hela sina

    Uwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo Na kumvesha nguo za bukubuku upo Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kuoa mwanamke mtu mzima anayenizidi umri

    Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini. Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi). Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi umri ili awe mke wangu wa ndoa. Naahidi nitamskikiza na kumtii kwa kila kitu akitakacho, email yangu...
  3. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni zaidi ya miezi miwili kila siku nikiamka natamani kuoa

    Wakuu kwema? Wakuu mimi ni kijana nina miaka 30 na pia nimuajiriwa na naishi peke yangu kwa zaidi ya miaka miwili. Sina biashara nyingine zaidi ya ajira ila kuna vikazi vidgo dogo vya computer huwa nafanyaga vinanipa hela. Nimekua kwenye mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti. Mimi sio...
Back
Top Bottom