Tarehe ya kuzaliwa imenipa mwanmke wa ndoto yangu

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
969
1,064
Wakuu kwema?

Kuna mtoto mmoja hivi wa kishua kweli kweli alinipaga namba mwenyewe sasa baada ya ziku 3 nikaji race nikaanza kumwambia nakupenda nataka nikuoe akanitolea nje nikavunga niakendelea na life.

Siku yangu ya kuzaliwa nika post status kuwa aka view ana ni wish akaniambia nimezaliwa mwezi mmoja na baba yake kweli kwenda kucheki alimpost baba yake tokea saa saba usiku mimi nilipost kwenye saa tatu asubuhi nikafrahi.

Siki zikapita ...
Siki nikamuuliza unajisikaje kuwa na mwanaume ambaye amezaliwa same date na mwezi na baba yako mzazi ambaye kila siku unampost unasema my world hakujibu text nikakusha..

Akaja akanitafuta afater three days hapa alituma tuu message ya kunisalimia ile niliyomtumia hakijibu mara good morming, mara good night bla blah kiabo..

Week 2 zilizopita nikamuomba appointment aje geto akasema atakuja nikamuambia karibu .. nikaendlea na mambo yangu siku ya tukio akanitafuta akanaimbia anakuja bahati hatukai mbali saana..

Akaja tukapiga story akajibebisha akapika tukala na yeye nikamla sana.. kuanzia hyo siku tukawa wapenzi

Mwenyezi Mungu linda penzi letu
 
Anakazwa na baba yake huyo kwahiyo kwake wewe ni kama mbadala wa baba yake.

Ila kaa ukijua kama una kabinti kama umri wa huyo na yeye anafyonza korodani la lizee kama wewe. Kila mla vya wenzake na vyake pia huliwa.
 
Back
Top Bottom