Search results

  1. C

    Marefa wa English Premier League nao ni Vilaza tu

    Ukiangalia performance ya Marefa wa Ligi Kuu ya Uingereza pamoja na kuwepo kwa VAR bado wana maamuzi dhaifu sana. Waamuzi hawa wamelalamikiwa mara kwa mara lakini hawabadiliki. Tarehe 12 Mei 2022 Refa Paul Tierney ametoa a very soft penalty kwa Spurs dhidi ya Arsenal. Maamuzi mengine ya hovyo...
  2. C

    Mechi za Usiku Uwanja wa Mkapa mwanga ni mdogo

    Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania. Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
  3. C

    Uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Muungano

    Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa...
  4. C

    Pape Osman Sakho Special Thread

    Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania
  5. C

    Baraka Mpenja ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Gharib Mzinga

    Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
  6. C

    FT: Azam 0 Pyramids 0

    Dakika ya 21 Sasa 0-0 ===
  7. C

    Simba tumefungwa lakini nimeridhika

    Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0. Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa bayo Wachezaji wetu. Timu ilitengeneza nafasi za kutosha jambo ambalo ndilo la kuangalia. Pamekuwa...
  8. C

    Sala Katika Mkutano na Shughuli za Serikali

    Serikali yetu inajinasibu haina dini lakini ni jambo la ajabu Sana Shughuli za Kiserikali kuhusishwa na Dini. Sielewi zile sala zilizopo katika Shughuli za Kiserikali zinawezaje kucover makundi yote ya watu katika jamii. Natambua Serikali haina dini ila watu wake Wana Dini, hata hivyo nadhani...
  9. C

    Mwinyi Zahera ni kocha bomu

    Nimekuwa nikimfuatilia Kocha Mwinyi Zahera tangia ajiunge na Timu ya Yanga Mwishoni mwa msimu wa 2017/18. unaweza kusema amepata mafanikio kiasi ikiwemo kuifanya Timu yake kushika nafasi ya Pili mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na ikiwemo kuwa Kocha Bora wa Mwezi Desemba 2018...
  10. C

    Hongera MwanaSimba, Kassim Majaliwa

    Mheshimiwa Kassim Majaliwa hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika. Wewe ni mwanamichezo mzuri kwanza ni kocha wa timu ya bunge, pili ni mwanachama hai na mzuri wa Simba Sports Club. Kwa kutambua kwamba wewe ni mwanamichezo naomba msiisahau hii sekta ya michezo. Najua...
  11. C

    Live updates: Tanzania vs zimbabwe

    Haya wana JF tunalangalia mechi ya kwanza ya raundi ya awali ya kugombea kwenda AFCON 2015
  12. C

    Ruvu shooting vs simba sc taifa leo 5/10/2013

    Jamani sijaiona thread yenye title hii, ila wadau tujulishaneni nini kinaendelea, binafsi nitaenda taifa leo, ila Techno yangu sijui kama itaweza kuwapa updates ila nitajitahidi mechi zingine leo ni JKT Ruvu vs Kagera Sugar - Azam cplx Coastal Union VS Azam FC- Mkwakwani JKT Oljoro VS Mbeya...
  13. C

    Juma nature na wanaume halisi wawafunika wanaume family

    Sir Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi akiwanyooshea Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa NANI MFALME ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao dhidi ya mahasimu wao, TMK Wanaume Family. Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa mashabiki wa TMK Halisi, wakati...
  14. C

    Blackberry 9900 inauzwa bei poa

    BB 9900 safi kabisa ikiwa na accessories zake inauzwa kwa bei poa kabisa ya shillingi laki 6 tu mwenye kuhitaji tuwasiliane
  15. C

    Azam fc tv hewani ndani ya channel ten!!!

    Wadau, Naona Azam FC wamefanya mapinduzi ya kweli ya kimaendeleo kwa soka ya Tanzania, kwani wao tayari wameweza kurusha hewani kipindi chao cha habari zao kinachoitwa Azam FC TV, Katibu MKuu wa Azam yupo studio Channel Ten kwa sasa akielezea mipango yao na anaonyesha baadhi ya facilities...
  16. C

    ngo ngo ngo hodi

    jamani wenye nyumba mpooo? mwenzenu ni mgeni kwenye kijiji hiki naomba mnipokee, mwenyekiti wa kijiji ndugu comrade invisible ameniambia nakaribishwa kijijini nanyi wanakijiji wenzangu naomba mnipokee pasi na hiyana
Back
Top Bottom