Search results

  1. KISHINDO

    Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Musoma kwenda Dodoma

    Habarini za kushinda Naomba msaada wa kupata Kampuni itakayoweza kunisafiriahia Bati 50 toka Musoma kwenda Dodoma. Natanguliza Shukrani nyingi!
  2. KISHINDO

    Kuagiza toyota premio

    Habarini ndugu! Naomba msaada:- 1. wa kujua gharama za kuagiza TOYOTA PREMIO toka Japan na Ushuru wake kwa sasa. 2. Ni Premio ya injini ipi itanifaa maana niko Wilayani Serengeti na barabara si nzuri kivile. 3. Kampuni nzuri inayoaminika kwa kuagiza Magari ni ipi maana kuna wajanja wa...
  3. KISHINDO

    Msaada: Usafiri wa basi kutoka MWANZA - UGANDA

    Naombeni msaada wa kujua kama kuna Bus la kutoka Mwanza kwenda Kampala, Uganda na makadirio ya nauli. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  4. KISHINDO

    Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

    Habari wakuu, Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  5. KISHINDO

    Msaada: Naomba kujua duka la vifaa original vya umeme (Tronic) jijini Mwanza

    Habari za pilikapilika za majukumu ya siku ya leo. Naamini siku inaenda vyema kwako. Kama kichwa cha habari kinavyosema, naomba MSAADA wa kujua lilipo duka zuri la vifaa vya UMEME (TRONIC) mkoani Mwanza. Natanguliza shukran zangu za dhati. Ahsanteni sana!
  6. KISHINDO

    Msaada: Jinsi ya kuvuta maji kutoka kisimani

    Habari ya kazi ndugu yangu. Mahali nilipo hapana umeme na nimefunga mfumo wa maji nyumba nzima hivyo naomba msaada wa kujua nini kinachohitajika ku-supply maji toka kisimani kati ya MOTOR au WATER PUMP. Kama vitahitajika vyote kwa pamoja naomba msaada pia. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  7. KISHINDO

    Freeman Mbowe akifutiwa mashtaka itakuwa ni ushindi mkubwa CHADEMA

    Habarini za mahangaiko wasakatonge wenzangu. Naamini mnaendelea na mahangaiko ya kuitafuta shilingi kwa udi na uvumba. Narejea katika kichwa cha thread hii, ombi limetolewa kwa Rais kuwa MBOWE pamoja na wenzake wafutiwe mashitaka lakini kwa kufanya hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kifo cha CCM na...
  8. KISHINDO

    Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  9. KISHINDO

    CRDB UDOM MNABOA

    Yaani kuna Madirisha 6 lakini kuna teller mmoja tu naye anafanya kazi polepole kama kaajiriwa jana. Wafanyakazi wengine wapo tu wanalanda landa tu kila kona Cha kushangaza ni kwamba mtu akifika kuvaa kaunda suti anapeleka slip kwa customer care then customer care anaichukua na kuipeleka kwa...
  10. KISHINDO

    Makampuni yauzayo manual cars

    Naombeni msaada wa kujua kampuni za nje ya nchi zinazouza magari manual-yaliyotumika (used). Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
  11. KISHINDO

    Mwanamke asiye na kizazi anaweza kupata hedhi?

    Je, mwanamke/binti asiye na kizazi aweza enda katika siku zake-MP? Naomba kuelimishwa wandugu zangu
  12. KISHINDO

    Kwa Nini Bikra Aliwekewa Mwanamke tu?

    Habarini za pasaka ndugu zangu! Naamini mu wazima. Naomba kujua ni kwa nini Bikra aliwekewa mwanamke tu? Namaanisha kwamba mwanaume anaweza kulala na wanawake hata 100 lakini akasema ana bikra lakini mwanamke hata akilala na mwanaume mmoja tu atagundulika kwamba tayari ni more than used. Je...
  13. KISHINDO

    Malumbano ya Hoja ITV

    Nashindwa kufahamu kwa nini wahusika wa kipindi cha Malumbano ya hoja huwa ni walewale miaka nenda rudi?? Pia sioni uweredi wao, wengine wanapayukapayuka tu kama wamelewa.
  14. KISHINDO

    Volunteers wanted

    Maelezo yote yako katika attachment hiyo.
  15. KISHINDO

    Tetesi: Kesho Nov.1, 2016 Kariakoo safiiiiiii

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala dada Mjema kasema kesho mwisho kupanga bidhaa za machinga mitaa ya Kariakoo. Kiukweli ilikuwa ni shida hata kupita kwa watembea kwa miguu.
  16. KISHINDO

    Ndege mpya zitakapowasili nchini, NAOMBA ZIZINDULIWE KWA KUPANDWA BURE

    Kwa mwezi mmoja kutoka Dar to Mwanza kama tulivyozindua magari ya mwendo kasi. Kwa uzinduzi wa bure, tutakuwa na faida mbili. Ya kwanza, kuwagundua wanafiki ambao wanaziponda maana wao ndo watakuwa wa kwanza kutaka kupanda pasipo kulipia. Ya pili, kufanya majaribio ya awali ili kujua kama ziko...
  17. KISHINDO

    Siasa na magari ya washawasha

    Serikali yetu ilinunua magari mengi sana ya maji ya washawasha kwa ajili ya kumwagia watu watakaosababisha na au kutishia usalama wa wananchi wakati wa uchaguzi. Naweza sema magari hayo yalinunuliwa kinyume na vipaumbele vyetu hasa kwa kanchi masikini kama Tanzania maana yalinunuliwa mengi sana...
  18. KISHINDO

    Bank ya Finca Haipeleki Mafao ya Wafanyakazi wake

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, kampuni ya finca inayojiita bank haipeleki mafao ya wafanyakazi wake. Uchunguzi uliofanyika unaonyesha kuwa mara ya mwisho mafao ya wafanyakazi wa finca yalipelekwa mwezi wa nane (8) mwaka jana 2015. Kuanzia mwezi huo wa nane hadi leo January 30, 2016...
  19. KISHINDO

    Msaada, mafao ya mfanyakazi baada ya kuacha kazi

    Naamini nyote ni wazima na wa afya njema. Naomba msaada kwa yreyote mwenye uelewa ya kwaba mtu anapoacha kazi anapaswaapewe release letter na mafao yae mengine baada ya muda gani toka tarehe ya mwisho ya resignation yake na ama kamaliza clearance yake. Ntafurahi iwapo ntapata msaada huo maana...
  20. KISHINDO

    Naomba kuuliza kuhusu MAGUFULI

    Msaada wenu ni muhimu kuhusu Mzee Rais wetu mpendwa MAGUFULI, ETI KARUHUSU BODABODA KUINGIA MJINI PASI NA WALE WALIOKUWA WANAOKAMATA PIKIPIKI NA KUOMBA RUSHWA YA 5, 000 - 20, 000???? Kama bado hajasema, naomba mmwambie alisemee maana kuna vijana waendesha pikipiki wamekuwa wakiumia sana kwa...
Back
Top Bottom