CRDB UDOM MNABOA

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,112
1,798
Yaani kuna Madirisha 6 lakini kuna teller mmoja tu naye anafanya kazi polepole kama kaajiriwa jana. Wafanyakazi wengine wapo tu wanalanda landa tu kila kona

Cha kushangaza ni kwamba mtu akifika kuvaa kaunda suti anapeleka slip kwa customer care then customer care anaichukua na kuipeleka kwa teller ili ahudumiwe haraka. Wengine mnaendelea kusota kwenye foleni.

Haka kabenki nadhani kanataka kujifia.

Time will tell
 
Pole mkuu
 
Wanaona nyie ni wanafunzi na mnatoa hela zaid ya kuweka ndo maana hawana stress na nyie

Pia wanafahamu kuwa kunakuwa na jam kipindi wanafunz wanaripot na kipindi cha mtihan tu, kwahyo hawaoni haja ya kuongeza wafanyakazi

Pole sana Mkuu

Number za Charles Kimei hizi (0745021582) mpigie mueleze shida yako.
 
Back
Top Bottom