Freeman Mbowe akifutiwa mashtaka itakuwa ni ushindi mkubwa CHADEMA

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,112
1,798
Habarini za mahangaiko wasakatonge wenzangu.

Naamini mnaendelea na mahangaiko ya kuitafuta shilingi kwa udi na uvumba.

Narejea katika kichwa cha thread hii, ombi limetolewa kwa Rais kuwa MBOWE pamoja na wenzake wafutiwe mashitaka lakini kwa kufanya hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kifo cha CCM na mwanzo wa CHADEMA kukua kuliko nyakati nyingine zote.

Kwa mujibu wa maisha kuwa magumu, vitu kupanda bei kila kukicha, umeme kukatika katika, ukosefu wa madawa mahospitalini, ajira kuwa kizungumkuti n.k. Kupitia hayo kama MBOWE atafutiwa mashitaka yake kwanza itaonekana CHADEMA wamekuwa wakionewa na CCM kila mwaka.

Pili, inamaana kuwa mwaka 2025 wabunge wengi wa CCM hawatarudi Dodoma kwa sababu wengi wao watapigwa chini kwa kutomtetea mwananchi wa kipato cha chini dhidi ya kupanda holela kwa bei za bidhaa mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kusinzia kwa wabunge bungeni. Hata kura za Rais naamini zitapungua sana 2025.

CHADEMA shangilieni maana USHINDI WA MWAKA 2025 UMEPATIKANA MWAKA 2022.
 
Kwa mujibu wa maisha kuwa magumu, vitu kupanda bei kila kukicha, umeme kukatika katika, ukosefu wa madawa mahospitalini, ajira kuwa kizungumkuti n.k
Kupitia hayo kama MBOWE atafutiwa mashitaka yake kwanza itaonekana CHADEMA wamekuwa wakionewa na CCM kila mwaka.

Pili, inamaana kuwa mwaka 2025 wabunge wengi wa CCM hawatarudi Dodoma kwa sababu wengi wao watapigwa chini kwa kutomtetea mwananchi wa kipato cha chini dhidi ya kupanda holela kwa bei za bidhaa mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kusinzia kwa wabunge bungeni.
Hata kura za Rais naamini zitapungua sana 2025.

CHADEMA shangilieni maana USHINDI WA MWAKA 2025 UMEPATIKANA MWAKA 2022.

Basi roho ndiyo inakuuma! Kama mchawi vile.
 
Mimi binafsi sipendi chama chochote Cha siasa lakini kwa namna siasa wanavyofanya CHADEMA ni ngumu kwawo kushika nchi CCM itazidi kutawala kipindi Cha JK ndio kipindi ambacho ndicho kilikuwa kwao rahisi madudu yalikuwa mengi kila sector na wao pia walikuwa wapo vizuri kiushawishi, kujenga hoja na kusimamamia ajenda za Wanawanchi na ndio maana walikubalika kiasi fulani kwasasa hivi wamekosa ushawishi kwa wananchi hiki ndio kitachowaangusha.
 
Wapeni jukwaa huru,tuwapime ushawishi wao..Mnawahukumu mkiwa mmewafungia kwenye chupa?! CCM bwana..
 
Shida wanatoa hoja kimihemko Sana hawa jamaa. Wanaona kam hiki kikundi Chao cha Bavicha kila mtu yupo! Wa jipange kushawishi wananchi.. Hasa WAMAMA! hawa ndo wachawi wao

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wapeni jukwaa huru,tuwapime ushawishi wao..Mnawahukumu mkiwa mmewafungia kwenye chupa?! CCM bwana..
Sasa ndugu yangu unavyosema hivyo as if nipo Serikali au ni mwanachama wa CCM me sipo kwenye hizo ligi zenu za siasa me nimetoa Maoni yangu kutokana na ninachoona
 
Hivi kuna watu vichwa vinawatuma kuwa Kesho Kesi inafutwa. Yaani wanaamini kabisakabisa.
 
Utabiri wa hivi ndio unazidi kumkaangia kunguni mwenyekiti mkuu. Kwa sasa ni kukaa kimya kwanza mjomba.
 
By the way, sisi wapenda haki tunataka mahakama iamue kwa haki based on the evidence presented so far!

Mwamba hajawahi na wala hahitaji any kind of favor! Siku zote Chama kimehubiri HAKI; tunataka HAKI itendeke. Haki ni pamoja na kuwawajibisha wote waliotunga uzushi ule.
 
Habarini za mahangaiko wasakatonge wenzangu.

Naamini mnaendelea na mahangaiko ya kuitafuta shilingi kwa udi na uvumba.

Narejea katika kichwa cha thread hii, ombi limetolewa kwa Rais kuwa MBOWE pamoja na wenzake wafutiwe mashitaka lakini kwa kufanya hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kifo cha CCM na mwanzo wa CHADEMA kukua kuliko nyakati nyingine zote.

Kwa mujibu wa maisha kuwa magumu, vitu kupanda bei kila kukicha, umeme kukatika katika, ukosefu wa madawa mahospitalini, ajira kuwa kizungumkuti n.k. Kupitia hayo kama MBOWE atafutiwa mashitaka yake kwanza itaonekana CHADEMA wamekuwa wakionewa na CCM kila mwaka.

Pili, inamaana kuwa mwaka 2025 wabunge wengi wa CCM hawatarudi Dodoma kwa sababu wengi wao watapigwa chini kwa kutomtetea mwananchi wa kipato cha chini dhidi ya kupanda holela kwa bei za bidhaa mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kusinzia kwa wabunge bungeni. Hata kura za Rais naamini zitapungua sana 2025.

CHADEMA shangilieni maana USHINDI WA MWAKA 2025 UMEPATIKANA MWAKA 2022.
Kwa hiyo awe na kesi ya kujibu kisha afungwe maisha ili CHADEMA waendelee kutaabika?
 
Mmeshajiuliza na Samia kampa mapendekezo gani lisu ili Samia ayafanye aliyomwambia lisu?
Msamaha aliomuombea mbowe ni tofauti na ule aliomuombea zito?
Lisu akirudi ataendeleza harakati zake?
 
Mimi binafsi sipendi chama chochote Cha siasa lakini kwa namna siasa wanavyofanya CHADEMA ni ngumu kwawo kushika nchi CCM itazidi kutawala kipindi Cha JK ndio kipindi ambacho ndicho kilikuwa kwao rahisi madudu yalikuwa mengi kila sector na wao pia walikuwa wapo vizuri kiushawishi, kujenga hoja na kusimamamia ajenda za Wanawanchi na ndio maana walikubalika kiasi fulani kwasasa hivi wamekosa ushawishi kwa wananchi hiki ndio kitachowaangusha.

Cdm wamekosa ushawishi kwa wananchi, ila kila wakitaka kukutana na wananchi vyombo vya dola vinawazuia! Kibaya zaidi kila cdm wakiitisha mkutano wanakuwa na umati mkubwa wa watu, jambo hili ni chukizo kwa kila mwanaccm. Kwa hiyo ccm itaendelea kutawala kwasababu ina ushawishi ama? Au unadhani ukisema ww sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ndio uccm wako utajificha?
 
Mmeshajiuliza na Samia kampa mapendekezo gani lisu ili Samia ayafanye aliyomwambia lisu?
Msamaha aliomuombea mbowe ni tofauti na ule aliomuombea zito?
Lisu akirudi ataendeleza harakati zake?

Kingai bana,cdm hawahitaji kuombewa msamaha na Zito kwakuwa wanaweza kupigania haki zao. Hakuna mwenye tatizo na Samia alichomwambia Lisu, bali sisi tunajua Lisu alichomwambia Hangaya. Kama Hangaya anaona kuna la kuficha kwa alichomwambia Lisu is non of our business.
 
Back
Top Bottom