Ndege mpya zitakapowasili nchini, NAOMBA ZIZINDULIWE KWA KUPANDWA BURE

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,112
1,798
Kwa mwezi mmoja kutoka Dar to Mwanza kama tulivyozindua magari ya mwendo kasi.

Kwa uzinduzi wa bure, tutakuwa na faida mbili.

Ya kwanza, kuwagundua wanafiki ambao wanaziponda maana wao ndo watakuwa wa kwanza kutaka kupanda pasipo kulipia.
Ya pili, kufanya majaribio ya awali ili kujua kama ziko vizuri
Tatu, kufanya majaribio ya matumizi ya electronic card za maxi malipo.

Ni mawazo yangu tu hayo. Nawe leta ya kwako.
 
Hilo ombi mpelekee Lowasa, atalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom