Mwanamke asiye na kizazi anaweza kupata hedhi?

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,778
2,000
Je, mwanamke/binti asiye na kizazi aweza enda katika siku zake-MP?

Naomba kuelimishwa wandugu zangu
 

MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,370
2,000
Kizazi ni eneo ambalo mimba hukaa
Yaani chumba ambacho mimba hutungwa hapo
Tofautisha na mayai ya mwanamke ambayo huiva yakashuka kwenye mji wa uzazi (kizazi ) ili yaanguliwe na mbegu ya kiume
Kwahiyo yai litaiva lishuka na kukosa mji then linaharibika na uchafu wake utatoka kwa njia ya kawaida kabisa yaani mwanamke kupata hedhi (kuwa mwezini)
Sio mtaalamu wa mambo haya kwanza biology form 4 nilitoka na F
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom