Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
nami ni fundi umeme ila sijajua vitu uvitakavyo kwenye nyumba viwepo,huenda wewe ukataka kila chumba ni socket mbili,moja ama tatu,ama chumbani unataka kuweka switch za two 2 switch mie nikakupigia single switch so mpaka hapo bei haziwezi kuwa sawa.
 
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Wastani chumba nne unatakiwa kuandaa pesa isiopungua lakinane na nusu hapo nyumba itakua imetimia , angalizo hela hiyo haitahusika na mfumo wa Ac, laki tatu na nusu au tatu ni ya fundi , laki tano ni ya vifaa wasiliana nami 0652670595/0773120431
 
Nimekuelewa fundi nhoja nisake noti na mimi pia nitakucheki
 
Ngoja nikupe mchanganuo wa vifaa

*Main switch 8 way (tronic)- Tsh 95, 000=
*Circuit breaker(tronic) - 45, 000=
*Earth road(pure copper) - 50, 000=
*1.5mm wire(single) 6 pair×50000= 300, 000=
*2.5 mm wire(single) 3 pair ×80000=240, 000=
*10 mm wire (mita 5) - 50, 000=
*switch socket double -8× 8000= 64, 000=
*lamp switch - 50, 000=
  • 4mm earth wire (mita 10)- 20, 000=
  • cooker switch - 30, 000=
4mm wire (mita 10)×4000- 40, 000=

Jumla Tsh 994, 000/=

Vifaa vyote kampuni ya Tronic
Waya kampuni ya master cable

Hii ni wiring ya kawaida sana kwenye nyumba.yani wiring ya mtu wa hali ya chini
 
Weka standard sasa.
 
Acha wizi wako wewe
Kuna nyaya umeweka hapa hazina umuhimu 10mm ya nini??
 
Naombeni kujua makadirio ya vifaa vya wiring vya nyumba yenye vyumba vitatu,choo,jiko, na sitting room
Ubaya wa wiring uwa haiangalii ukubwa wa jengo bali wewe unaitaji nini kwenye nyumba.mfano nyumba hii ni mdogo tu ina vyumba 2 vya kulala ila cost yake imefika zaidi ya milion 3.

Mchanganuo

(1)2.5 mm wire(master cable)-6 roll × 78000= 468, 000.
(2) 1.5 mm wire single-9 roll×45000= 405, 000.
(3) main switch 12 way(tronic)- 150, 000
(4)circuit breaker- 45000
(5)earth load-50000
(6) 16 mm wire -mita 10×13000= 130, 000.
(7)switch socket double-10×17000= 170, 000.
(8)lamp switch 4gang(3)-3gang(4)2gang(4)1gang(3)
*4 gang-3×14000= 42, 000.
*3gang-4×11000=44, 000.
*2gang-4×9000=36, 000.
*1gang-3×7000=21, 000.
*cooker switch-35, 000.
*DP switch 20A (kwa ajili ya water heater na pump ya maji)-3×14000=32, 000.
*DP switch 45A(kwa ajili ya AC)-2×21000=42, 000.
*tv socket(double-kwa ajili ya ving'amuzi)-2×14000=28, 000.
(9)Conduit pipe(Bomba) -3/4 -80×2000=160, 000.
*Conduit pipe(1inch)-40×3000= 120, 000.

(10) taa za ndani
*taa za ukutani 12(5×50, 000=250, 000.) (7×35000=175000)
*Jpysum light-18×15, 000=330, 000.
*taa ya mkanda25×5000=125, 000+30, 000=155, 000.
*taa za chooni(2) vibarazani(2) jikoni (1)
20000×5=100, 000.
(11) taa za nnje-15× 40, 000= 600, 000.

(12)Squal box,waterploof box, earth wire, Round box, Round cover=100, 000

Total Tsh 3,688, 000.
Screenshot_20230419-145848_Gallery.jpg
Screenshot_20230419-145826_Gallery.jpg
 
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Nyumba yangu vifaa pekee kwa nyumba yenye ukubwa huo huo nikitumia tsh 1.5 mln of money na fundi alinisaidia kwa 200000. Kujenga Kila kitu gharama.
 
Ngoja nikupe mchanganuo wa vifaa

*Main switch 8 way (tronic)- Tsh 95, 000=
*Circuit breaker(tronic) - 45, 000=
*Earth road(pure copper) - 50, 000=
*1.5mm wire(single) 6 pair×50000= 300, 000=
*2.5 mm wire(single) 3 pair ×80000=240, 000=
*10 mm wire (mita 5) - 50, 000=
*switch socket double -8× 8000= 64, 000=
*lamp switch - 50, 000=
  • 4mm earth wire (mita 10)- 20, 000=
  • cooker switch - 30, 000=
4mm wire (mita 10)×4000- 40, 000=

Jumla Tsh 994, 000/=

Vifaa vyote kampuni ya Tronic
Waya kampuni ya master cable

Hii ni wiring ya kawaida sana kwenye nyumba.yani wiring ya mtu wa hali ya chini
Makadirio yako ni mazuri ila hapo kwenye wire za 1.5mm kuna namna umekosea hesabu 6pair za single maana yake ni roller 12. Ila pia kama unmaanisha set ni(R,B,G) ambayo ni roller 3 kila set ambayo jumla ni roller 18.

Means 12×50,000=600,000
Au 18×50,000=??

Pia bei ya jumla ya master cable roller ya 1.5mm kwa Kkoo ni 40k kwa roller.
 
Niambie duka gani kariakoo linauza master cable ya 1.5mm kwa elfu 40.nitajie ilo duka maana maduka ya jumla yanajulikana.nipo nasubiri jibu.

Pia sio kila aliyepo humu basi ana uwezo wa kufika kariakoo.mimi nimepata kazi nyingi tu za mikoani kutokea humu humu jamii forrum.

Ni vizuri kuweka bei inayojulikana kuliko kiweka bei ya kariakoo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom