KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,164
- 1,905
Habarini za pasaka ndugu zangu!
Naamini mu wazima.
Naomba kujua ni kwa nini Bikra aliwekewa mwanamke tu?
Namaanisha kwamba mwanaume anaweza kulala na wanawake hata 100 lakini akasema ana bikra lakini mwanamke hata akilala na mwanaume mmoja tu atagundulika kwamba tayari ni more than used.
Je, Mungu aliwapenda sana wanawake na kuamua kuwalinda?
Naomba msaada wa kulijua hilo.