Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakuu poleni na majukumu ,,ni zamani kidogo niliwahi kupaka lotion ya kuondoa nywele kwapani kwa ndg yang mmoja lakn kwa sasa jina silikumbuki kwa usahihi,,,, naombeni tushare ideas kwa yeyote...
1 Reactions
48 Replies
28K Views
Habari wandugu' Jamani mpaka nimefikia kuandika hapa ni ile tabia ya kina dada kuacha nywele nyiingi sehemu za siri Nilikutana na mwanamke duu! kiukweli badala ya kufurahia mapenzi alinitia...
17 Reactions
174 Replies
34K Views
Mie ni kijana wa 35+, nina mke na watoto wawili. Lakini kwa ushauri wa mke wangu, kutokana na ngozi yangu kuwa ngumu na isiyovutia machoni mwake ndo akaniletea mafuta ya Nazi nianze kuyatumia. Na...
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Zifuatazo ni peel face mask ambazo zitasaidia kukisafisha uso kutoa blackheads usoni ,na mafutamafuta na uchafu wote,na kukuwacha na ngozi safi kabisaa.msishangae vyote hivo mm nmeshajaribu na...
5 Reactions
14 Replies
7K Views
Ndugu wana jamvi, nawasalimu nyote, Leo ni Jumpili, na maeneo nilipo ni njia inayotumika sana kupita watu wakienda kusali, Jana walipita wasabato nawacheki! Na leo walokole, maana makanisa yao...
3 Reactions
45 Replies
14K Views
Hellow,kuna post humu nilisoma kuwa maji ya rose water hupatikana kwa kuloweka majani ya ua rose na kinachopatikana hapo ndo hayo maji ya rose water,asa nna swali je nikichukua hayo majan...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu, baada ya muda mrefu hatimaye na mie nimeanza kuvaa hivi visuruali vinavyobana mapaja! Hii ni baada ya mpenzi wangu kuniambia kuwa hizo ndio pamba zinazobamba na yeye anadata na pigo hizo...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Habarini waungwana, wiki iliyopita nilisoma habari za mwanamama mmoja mjasiriamali anayeuza urembo asilia kwa ajili ya nywele, ngozi na vinginevyo. Bahati mbaya gazeti silioni hapa hata jina...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wasalaam Aleikum Ndugu zangu wapenzi, kama heading inavyosema naombeni mnisaidie kama kuna dawa inaweza kukuza ndevu yaani kama zipo kwa mbali ziote haraka Ahsanteni!
1 Reactions
23 Replies
15K Views
Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wadau, Mimi nina tatizo moja la uso wangu kuwa mwekundu sio sana lakini unakua mwekundu kwa mbali kama nikitembea sana juani, nikipika au nikipata stress. yaani nikihangaika kidogo tu uso...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Kuna ubaya wowote Mwanamme kufuga kucha? Wanawake mnachukuliaje hii issue? Na Wanaume mna suggest nini??
1 Reactions
156 Replies
30K Views
Hellow jaman ushauri wenu mimi si mweupe wala si mweusi nipo kati asa nataka ning'ae zaid mafuta gani ambayo nikipaka yataning'arisha yani sio ya kuchubua nataka ya kung'arisha ngozi tu pia ngoz...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF, Samahani naomba kuuliza hivi huduma za hair waxing au products za waxing zinapatikana wapi hapa Dar?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimekuwa mtumiaji wa mafuta ya mgando tangu nazaliwa especially babycare,family,mamis,Vaseline,na samona.Ila siku za karibuni ngozi yangu imekuwa haieleweki nimeshauriwa niachane na mafuta ya...
2 Reactions
71 Replies
36K Views
**** LOVE NATURE TEA TREE **** Set hii hutumika kwa watu jinsia zote, yaani ya kike na ya kiume. Pia ni kwa wale wenye ngozi yenye mafuta na kwa umri wowote. - Husaidia kuondoa mafuta kwenye...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
wanawake sisi sometimes tunajipenda utadhani hatutakufa.jana nilikuwa na shosti wangu mmoja hivi sehemu .huyu shosti tumetoka kijiji kimoja kwa hyo gene zake nazijua kabisa . Ila mwenzangu ana...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari ya jumapili wandugu, Hivi hamna dawa ya kuzuia ndevu zisiote tena yaani milele katika katika kidevu.
1 Reactions
25 Replies
28K Views
Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui? Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom