Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Za leo wanajamvi, Kwanini kwa 90% ya wanaofuga #RASTA na wanaofanya kazi za #Kuchora Huwa wachafu sana na wapo rafu kimavazi na kimwili? Huwa napata wakati mgumu kuwaelewa hawa watu, tatizo ni...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wanajamii naombeni mnifahamishe.Kunawanaume wanavaa pete Mkono wa kulia Utamwona amevaa Pete mbili Moja Ina dude jekundu kwa juu ha nyingine ina dude la Kijani.je ni ulembo au kunamaana nyingine...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mastaa wakubwa kama wafilamu na muziki hasa nchi za nje unaweza kuona zamani walikua wakijiachia na magarden love lakini saivi vifua vyeupe. Wakuu tutaje hapa viondoa garden love kama ni lotion...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Swala la kuchagua what type of outfit katika matukio flani, flani kwa vijana imekua shida sana kwa hasa ukizingatia tumetoka kwenye local family zisizojali sana haya mambo. Hapa nitalenga zaidi...
11 Reactions
32 Replies
7K Views
Wanabodi salaam, Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi kuna umuhimu wa kuvaa nguo za ndani, sawa iwe kwa mwanamke au mwanamme. Hivi hizi nguo za nje si zinatusitiri tayari? Wajuzi waniweke sawa.
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Wakuu, Naomba msaada wa kujua nguo/fashion nzuri ya nguo za kuvaa za Me na Ke kwa mtu anaetoa mahari na kuvalishana pete. Najua kuna wazoefu wa matukio kama haya. Asanteni.
5 Reactions
91 Replies
57K Views
Wakuu mambo vipi, Kwa mda sasa nimekuwa natumia mafuta ya Vaseline ila sasa nataka ku Upgrade. Je mafuta gani mazuri na classic ya kiume mna recommend? Bei I-range 20 to 30k Tsh. Karibuni
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Naombeni ushauri nifanyeje ili kuwa na brand ya nguo ikiwa mm sio maarufu..na kwa kuanzia inahitaji kama kiasi gan hv..mnaofahamu tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau Naomba mnijuze ni dawa ipi ya nywele nzuri, inaweza nifaa kwa hizi nywele zangu fupi? Nikisema fupi sio fupi sna nasuka mpaka nywele sita, ila tatizo kipilipili kimezidi nataka...
1 Reactions
5 Replies
17K Views
Naombeni ushauri nifanyeje ili kuwa na brand ya nguo ikiwa mm sio maarufu..na kwa kuanzia inahitaji kama kiasi gan hv..mnaofahamu tafadhali
1 Reactions
0 Replies
853 Views
Napenda sana fashion..hususani upate wa modeling yani hasa kwenye matangazo ya television na kwenye bao za matangazo ila sijajua, vigezo gani hasa hutazamwa na wanatasnia.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimekuja na uzi huu maalum kwetu vijana tuelezane njia nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma! Naamin hili ni shauku kwa vijana wengi mijini na vijijimi pia na ukizingatia wakati...
1 Reactions
32 Replies
21K Views
Ni fundi yupi huyu maridadi anayeshona zile "suits" za viongozi, mf Waziri Mkuu,wabunge,Ma-RC etc? Mwenye ufahamu please..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mungu kawapa wanaume nywele za usoni: kwenye mashavu, kidevuni na mdomoni.Bila shaka alijua sababu za kufanya hivyo ila sasa baadhi ya wanaume (hasa vijana) huachia nywele hizo kujiotea hovyo na...
3 Reactions
58 Replies
16K Views
Habari. Naomba kujua dawa ya kufanya nywele fupi kuwa na mawimbi pamoja na mafuta yake baada ya dawa. Hapa namaanisha nywele kwa mfano za lulu zinavyovutia na nyingine kama hizo.
0 Reactions
22 Replies
42K Views
Habari za mihangaiko ya hapa na pale kutafuta chochote kitu wana JF! Unaonaje fashion hii ikarudi tena miaka hii?
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Mwaaaaaaaaaa!![emoji7] ......Ni kwa vile tu siwezi kumgeuza ili nione chura![emoji1][emoji1] [emoji1]
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wanaJF, Kwenye hili jukwaa mm ni mgeni, ila kuna idea moja naomba niwashirikishe : jana kuna jamaa angu kaja na hii idea akanielezea akaniambia na mm niendelee kufikiria. Yaan ni hivi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamjambo wadau; Napenda kufahamishwa kuhusu aina ya sabuni na vifaa ama mahitaji muhimu yanayotumika katika ufuaji wa vazi la shela ukiwa nyumbani pasipokuipeleka kwa dobi.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom