vivianlyimo_teamoriflame
Member
- Mar 10, 2017
- 91
- 53
**** LOVE NATURE TEA TREE ****
Set hii hutumika kwa watu jinsia zote, yaani ya kike na ya kiume.
Pia ni kwa wale wenye ngozi yenye mafuta na kwa umri wowote.
- Husaidia kuondoa mafuta kwenye ngozi.
- Huondoa chunusi na mapele
Set ina bidhaa tatu;
- Cleanser
- Face toner
- Face Lotion
CLEANSER
Hii nisabuni maalumu ya kusafishia uso, huondoa uchafu wote kwenye ngozi ya uso.
Pia husaidia kuondoa make up usoni
- Inaujazo wa ml 150 na inapatikana kwa tsh 19,000/=
FACE TONER
Hii pia husaidia kusafisha ngozi ya uso na kuipa ngozi nafasi ya kupokea mafuta ya ngozi.
Husaidia kutayarisha vitundu vidogo vidogo vya ngozi kuwa tayari kupokea tiba.
_ inaujazo wa ml 150 na inapatikana kwa tsh 19,000/=
FACE LOTION
Haya ni mafuta yanayotumika kutubu ngozi iliyoshambuliwa na mapele na chunusi pia huondoa mafuta usoni.
- Inaujazo wa ml 50 na inapatikana kwa tsh 19,000/=
Kwa ujumla set hii ni tsh 57,000/= lakini ukijiunga kwa tsh 10,000 kwa matumizi binafsi au kwa biashara utaipata set hii kwa tsh 43,800/=
Karibu ukihitaji set hii waweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294
Bidhaa zitakufikia popote ulipo, gharama zitategemea na ulipo japo sehemu ambapo kuna ofisi za Oriflame bidhaa zitakufikia bure kabisa.