Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wanamitindo wawili wakati wa maonesho ya mitindo ya mavazi ya Stara Fashion Week yalioandaliwa City Garden, Dar es salaam. Maonesho yalitumiwa na wabunifu mitindo wa Kiislamu Tanzania kuvumisha...
3 Reactions
36 Replies
23K Views
Spring Collection 2018
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Hi JF Ni kama uzi unavyojieleza, katika mishe zangu za hapa na pale mara kadhaa nimekutana na baadhi ya wadada warembo, watanashati, waliojipamba vizuri wakakolea ila ukiendelea kumtazama vizuri...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada kuhusu hili, kuna rafiki yangu ana miaka 17 tu ila tayari ameshaanza kupata dalili za upaa kitu ambacho kimekua kikimletea msongo wa mawazo. Naomba kujua kama upaa una tiba au...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Yaani kuna kama viupele vinanisumbua wiki ya pili sasa kuna dawa nimepewa hospitali moja ya private hapa mjini Dodoma haijasaidia sijui nifanye nini inaninyima raha sana. vinawasha ila si sana...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Fundi ususi kwa bei poa anapatikana Manzese Bakhresa, nyumbani pia anakufuata (ila gharama itaongezeka kidogo), wasiliana nae kwa namba 0712721394 nywele zote zina range kati ya Tsh. 10,000...
0 Reactions
11 Replies
29K Views
Sababu inayofanya watu wengi wasianike chupi ktk kamba nje au hadharani tofauti na nguo nyingine ni madoa sugu "skid marks" hasa kwa chupi nyeupe, solution yake ni nini? Fungukeni
2 Reactions
54 Replies
9K Views
Bikuhabari wapenzi wenzangu wa fashion, bila shaka natumaini kuwa hamjambo, binafsi ni mdau mkubwa sana wa vipindi vya fashion hapa nchini. Sema kwa leo nitazungumzia vipindi viwili vya fashion...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nimegundua kuwa wanawake wanaotokea kuwa na ndevu huwa hawazinyoi kabisa hata zikirefuka vipi, tofauti na sisi wanaume ambao wengi wetu hatutaki kuziona zikitokea tu...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Hii mikasa inawapata watu wengi sana, Pale unapoinunua nguo nzuri kabisa na kufika nayo nyumbani, kimbembe unakipata wakati wa kuifua, Unakuta rangi yote inachujuka na nguo kupoteza ubora wake wa...
2 Reactions
27 Replies
10K Views
1.Kuvaa mkanda uliochakaa licha ya kuvaa viatu vizuri, suruali na shati la kisasa kabisa! 2.Kuruka Ruksi wakati wa kuvaa mkanda. Daima hakikisha mkanda wako umepita kwenye ruksi husika kabla...
45 Reactions
108 Replies
25K Views
Unajua jambo? Si lazima utumie hela za bidii yako kununua vipodozi na vyoo ghali — unachohitaji kufanya tu kupeleka mwonekano wenye ubunifu jikoni mwako! Kweli! Huenda usingetabiri, lakini asili...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wa ndugu, hasa wadau wa urembo hususani wa nywele. Wapendwa kuna dawa nimeisikia inaitwa LASER CURL (kama sijakosea), ambayo ni kwa ajili ya nywele natural ndefu kiasi na inafanya...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Poleni kwa majukumu ya kazi wanajamvi, nimekua nikijiuliza swali kwa mda mrefu ila nkaona nishee apa.... awa wadada wanaobandika kucha ndefu mikono yote miwili ivi inapofika swala la kuchamba...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu habari ya mda huu! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu Lotion ipi nzuri uso wenye mafuta mengi na Sehemu yenye baridi? Maana nimekuja mkoa wenye baridi sana sasa wakati nipo Dar...
1 Reactions
9 Replies
17K Views
Habari zenu mabibi na mabwana ,kwa yeyote mwenye uzoefu jinsi ya kuondoa tumbo baada ya kujifungua naomba anielekeze ili niweze kurudia hali yangu ya kawaida . Mchango wako ni wa muhimu sana ,karibuni
1 Reactions
19 Replies
27K Views
Habari wanajamiiforum. Leo tushirikiane katika hili. Kumekuwa na utata mkubwa sana kwa pande zote mbili husasani siku ya kwanza kukutana na mpenzi wako, ambae labda kwa muda mrefu mlikuwa...
1 Reactions
42 Replies
14K Views
Eti wapendwa miiki ndo mafuta gani na yanafaa kutumiwa na ngozi aina gani?mkiniwekea na picha itakua poa zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na ka tabia ka hawa madada zetu wanao jiweka mawigi vichwani mwao halafu ikitokea unaongea nae basi anajifanya kutikisa kichwa hivi huku akiweka sawa hizo nywele zake bandia.. Kwa mda...
4 Reactions
78 Replies
14K Views
Back
Top Bottom