Spalulu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 284
- 146
Habarini waungwana, wiki iliyopita nilisoma habari za mwanamama mmoja mjasiriamali anayeuza urembo asilia kwa ajili ya nywele, ngozi na vinginevyo. Bahati mbaya gazeti silioni hapa hata jina silikumbuki.
Habari hii ilieleza kuwa mwanamama huyu anapatikana magomeni japo haikusema ni magomeni ipi.
Habari inaendelea kueleza kuwa alishawahi pewa tuzo na kipindi cha tv cha malkia wa nguvu.
Mwenye kujua anapatikana wapi au hata mawasiliano yake tafadhali anijuze