Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,412
Kuna ubaya wowote Mwanamme kufuga kucha?

Wanawake mnachukuliaje hii issue?

Na Wanaume mna suggest nini??

man.jpg
 
Wanawake hua tunafuga kucha kwa ajili ya urembo sasa mwanamume anafuga ili iweje?urembo au??
To me haijakaa powa kabisa..
 
no comment_maake hata kucha zangu hazijakaa mkao wa kufugika.
 
Hapana aisee..
Wanawake hua tunafuga kucha kwa ajili ya urembo sasa mwanamume anafuga ili iweje?urembo au??
To me haijakaa powa kabisa..

wakati wa malavidavi.....

zinasaidia kukuna kuna mgongo wa mwanamke na kwenye butt
 
Mi sipendi kabisa kuona mwanaume anakucha....uchafu tu....mikucha mirefu ya nn sasa?
 
Ukisha ona mwanaume anafuga kucha namna hio, we muambie lini utazipaka na rangi ili upendeze zaidi.

Afu njoo unipe jibu kasema nini!!
 
Kucha sio urembo, bali ni uchafu. Iwe mwanamme au mwanamke, hazifai. Kama unazo zikate haraka sana kabla hazijakusababishia maradhi.
 
aiko sawa kwa men bali kama mtu anafuga kwa ajiri ya kutia/kulindimisha dole demu wake sawa
 
Back
Top Bottom