Tengeneza wewe mwenyewe peel face mask nyumbani

Arabian queen

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
2,557
4,824
Zifuatazo ni peel face mask ambazo zitasaidia kukisafisha uso kutoa blackheads usoni ,na mafutamafuta na uchafu wote,na kukuwacha na ngozi safi kabisaa.msishangae vyote hivo mm nmeshajaribu na vimenifaa ndo nmeviorodhesha hapa nanyi mjaribu huwezi jua pengine ndio itakua suluhisho ya tatizo lako so lets see

GELATINE ,UNGA WA MKAA NA MAZIWA.
Gelatine vijiko viwil,unga wa mkaa vijiko viwili na maziwa tia mpk upate paste hakikisha maziwa ni ya moto.

GELATINE,MAZIWA NA NDIMU
kijiko kimoja gelatine,maziwa vjko viwil na ndimu kijiko kimoja,changanya uoate paste,hakikisha maziwa yawe ya moto.

GELATINE NA MAJI TU.
gelatine kjk kimoja na maji vijiko vitatu,changanya,hakikisha maji yawe ya moto.

NB..ni uwezo wako wa kubuni tu hapo coz gelatine ndio sababu mask zinakua peeled.izoo mask utumie kila baada ya kuscrub uso wako.
jaribu moja wapo ya mask utumie.na wakat wa kutoa mask usoni uanze kuivuta kutoka videvuni kuja juu.

mask izo ni nzry utumie kila baada ya wiki mbili ,wakat umemaliza kuscrub uso wako ,umeweka uso wako ktk mvuke kwa dakika chache ufungue particles za uso then paka moja wapo ya mask.ukishaitoa io mask,osha uso wako vizry,safisha tn kwa toner then paka ur favourate cream or lotion .
Shukran
 
content yake nini ni? isije kuwa mkorogo!!!!
Nasahuri tumieni maji maji ya kwenye mayai kuliko hiyo makitu.
Wakati unaitoa usoni haubaki weus wowote coz inakua peeled yote ,na wakat inakua peeled matokeo unayaona dakika ileile wakat unapeel unatakata sana na kama ulikua na blackheads uson utaziona zote zimetoka zimegandia mask
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom