Natafuta dawa ya kukuza ndevu

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,301
8,693
Wasalaam Aleikum Ndugu zangu wapenzi, kama heading inavyosema naombeni mnisaidie kama kuna dawa inaweza kukuza ndevu yaani kama zipo kwa mbali ziote haraka
Ahsanteni!
 
wasalaam aleikum Ndugu zangu wapenzi, kama heading inavyosema naombeni mnisaidie kama kuna dawa inaeza kukuza ndevu yaani kama zipo kwa mbali ziote haraka
Ahsanteni!
....wewe utakuwa una homoni za kike,
...labda tukusaidie za kukuza manyonyo na makalio;
.ndevu tuachie mashababi!
 
Duh, kweli tunatofautiana, vipi Mkuu huna dawa ya kufanya zisikue haraka, maana Mimi zinanikera Sana, kila baada ya siku 5 lazima niende salon.
Achia uchebe huo,sio kila siki unazinyoa.unabadilisha muonekano mara mojamoja
 
Hivi jamani usiku wote huu na hii mvua tuko Tu hapa tunachat, nilitegemea tuwe juu ya viuno vya wake zetu, anyway ngoja Mimi nilianzishe hapa, kama vipi kesho wakuu, atakaepata dawa ya kuchelewesha au kuzuia kabisa ndevu asiache kuni PM.
Hahahah,usisahau kimoja cha kuwakilisha masela
 
wasalaam aleikum Ndugu zangu wapenzi, kama heading inavyosema naombeni mnisaidie kama kuna dawa inaeza kukuza ndevu yaani kama zipo kwa mbali ziote haraka
Ahsanteni!
wahindi na wapakistani wanavyakula vyao wanavihita DALLI huwa vinakuza sana ndefu jaribu kuwauliza wavipika vip
 
Tafuta mafuta flani yanaitwa KAMINOMOTO.....yanapatikana kariakoo madukani....au kama uko njema import mafuta yanaitwa beard czar
 
Back
Top Bottom