Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,675 Reaction score 1,755 May 17, 2017 #1 Eti wapendwa miiki ndo mafuta gani na yanafaa kutumiwa na ngozi aina gani?mkiniwekea na picha itakua poa zaidi
Eti wapendwa miiki ndo mafuta gani na yanafaa kutumiwa na ngozi aina gani?mkiniwekea na picha itakua poa zaidi
babalao 2 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 5,426 Reaction score 3,308 May 17, 2017 #2 Ni mafuta ya mizeituni
Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,675 Reaction score 1,755 May 23, 2017 Thread starter #3 Yanapatikana wapi?