Uso kuwa mwekundu juani na wakati wa kupika au stress

Titia

Senior Member
Jul 3, 2013
155
113
Habari wadau,

Mimi nina tatizo moja la uso wangu kuwa mwekundu sio sana lakini unakua mwekundu kwa mbali kama nikitembea sana juani, nikipika au nikipata stress. yaani nikihangaika kidogo tu uso rangi inapotea. Pia sio mtumiaji wa mikorogo sio mweusi ila nina weupe kidogo. Yaani nina rangi fulani hivi kama Lulu yule mtoto wa Bongo movie.

Natumia cream mara mbili kwa wiki sababu nisipopaka napataga sana rashes usoni na uso unawasha nimejaribu kuacha cream na kutumia dawa za makampuni hasa oriflame lakini hazikunisaidia. Ila nikitumia cream tatizo la kuwasha na rashes linaondoka

Wadau naomba msaada, hili tatizo la uso kuwa mwekundu liishe

Asanteni.
 
tumia ( queen Elisabeth Coco Butter) ni nzuri sana ila inauzwa ghali kidogo ila ni nzuri sana itaondoa kabisa tatizo lako.
 
natumia my, napaka mwili mzima. lakini still nikikaa wiki bila kupaka cream uso unawasha na rashes zinatoka. na still nikitembea juani nakua mwekundu.
 
53283cb4286a280eb88bbf841aa17ed5.jpg

Tumia sabuni hii

Nicheki 0714547830 only 10,000 tu inaondoa hizo sunburn
 
Shaka ipo unaposema una rangi ya lulu,ipi sasa ile ya 360(instagram picha zake ni makeup sana) au ya kwake orijino?
 
Unaposema cream unamaanisha nini? Hata maziwa yana cream. Weka jina la cream hapa wajuzi watakueleza Titia
 
natumia cream hizi medicated elyvate. yaani nikiacha kupaka kwa wiki nzima uso unawasha na natoka rashes. sasa sihitaji kupaka hayo macream ambayo ni medicated. nataka kama ya uso tu nzuri ya kuweka sawa uso.
 
Dada mi nakushauri uachane na hayo makitu hata miezi miwili uone kama hiyo ngozi haijaadopt.
 
natumia cream hizi medicated elyvate. yaani nikiacha kupaka kwa wiki nzima uso unawasha na natoka rashes. sasa sihitaji kupaka hayo macream ambayo ni medicated. nataka kama ya uso tu nzuri ya kuweka sawa uso.
Nakushauri acha kabisa kutumia hiyo cream. Ukisoma kwenye mtandao utaona inatumika kutibu eczema na dermatitis. Onana na pharmacist wa ukweli sio hawa manesi wa maduka ya dawa atakuelezea zaidi.
 
santee, nitazingatia ushauri.
 
Habari wadau,

Mimi nina tatizo moja la uso wangu kuwa mwekundu sio sana lakini unakua mwekundu kwa mbali kama nikitembea sana juani, nikipika au nikipata stress. yaani nikihangaika kidogo tu uso rangi inapotea. Pia sio mtumiaji wa mikorogo sio mweusi ila nina weupe kidogo. Yaani nina rangi fulani hivi kama Lulu yule mtoto wa Bongo movie.

Natumia cream mara mbili kwa wiki sababu nisipopaka napataga sana rashes usoni na uso unawasha nimejaribu kuacha cream na kutumia dawa za makampuni hasa oriflame lakini hazikunisaidia. Ila nikitumia cream tatizo la kuwasha na rashes linaondoka

Wadau naomba msaada, hili tatizo la uso kuwa mwekundu liishe

Asanteni.
Pole dear ni bidhaa gani ya Oriflame ulitumia? Na ulimwambia aliyekupa bidhaa kwamba ulitumia cream kabla? Naomba ukihitaji msaada zaidi juu ya hili uwasiliane nami kwa simu namba 0672416294.. KARIBU
 
Back
Top Bottom