Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wanawake huvutiwa na wanaume waliovaa nguo za bluu na wanaume huvutiwa na wanawake waliovaa nguo nyekundu
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Asalaam Wapendwa nifanyeje au nitumie nini kisicho na madhara ili nirefushe kope zangu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Wanajamvi, Naombeni mnisaidie, Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani...
3 Reactions
56 Replies
12K Views
Huyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
25 Reactions
190 Replies
30K Views
Wanawake wengi hupenda kubea mikoba kwa ajili ya kubeba vitu atakavyohitaji kutumia muda atakaokuwa nje ya nyumbani au pindi dharula itakapotokea. Imezoeleka kwa wanawake wa rika mbalimbali...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu. Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari jamani mimi ni mweusi lakin sio weusi ule uliofifia sana niseme kama maji ya kunde lakini tatzo miguuni ni mweusi sana yaani kuanzia kwenye kiwiko cha mguu kwenda chini Situmii cream ya...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Unakuta shati la Gucci linauzwa shillingi laki tano za ki- bongo na wakati mashati mazuri ya Egyptian cotton yanauzwa Tshillings 50,000 lakini kuna watu Wataona ufahari kumiliki shati la Gucci...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari Waungwana Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari za siku wapendwa.. Nna shida na fundi nguo, awe anajua kushona mishono yote pia aweze kunichagulia mshono kulingana na umbo langu, asiwe na bei... Mwenye fundi anaemfahamu anielekeze plz
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Naomba kufahamu viwango vya bei ya suti kwa huyu jamaa Sheria Ngowi, ni bei gani?
3 Reactions
246 Replies
102K Views
Nimejaribu kuwatafiti wadada kadhaa ambao mambo yao katika uhusiano hayako vizuri na wengi wao wamesuka vile vi dred... Kuna siri gani nyuma ya hilo? Ni ile saikolojia ya kuwa am strong and I can...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Kila mwana dada niliyewahi kumuona kavaa lile gauni la madoa ya chui chui alikuwa amependeza maana gauni lilimkaa fresh. Nikawaza iwapo kuna binti ambaye gauni hili halijawahi kumpendeza, sidhani...
1 Reactions
46 Replies
13K Views
Habari waungwana Naomba mrejesho kwa aliewahi tumia au anaetumia mafuta ya totem na je yanachubua au?pia ningependa kujua yametengenezwa wapi na bei yake pia ni sh ngapi!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwema wandugu naomba nifahamu ivi ni mafuta au lotion gani zuri kwa matumizi ya mwanaume
0 Reactions
36 Replies
12K Views
Kwa wale wanamitindo ni aina gani za nguo kijana (gentlemen) inabidi avae katika hali tofauti?
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Tangu nizaliwe sijawai tumia perfume lakini nafakuanza kutumia perfume kulingana na kazi Yangu je ni perfume gani nitumie Nature ya kazi Yangu ni kuwakaribu na watu
3 Reactions
52 Replies
10K Views
Mnisamehe tu leo... Suala la mwanaume kunukia kama mtoto wa kike linakera sana. Hii inatokana na kujipulizia mapafyumu. Mungu aliumba harufu za asili za kike na kiume tubaki na hizo. Lets get...
8 Reactions
137 Replies
20K Views
Back
Top Bottom