Nahitaji huduma za waxing

Mjomba kazola

Member
Mar 25, 2017
33
14
Habari zenu wana JF,

Samahani naomba kuuliza hivi huduma za hair waxing au products za waxing zinapatikana wapi hapa Dar?
 
Nenda Timeless Hair and Beauty salon wapo sinza..ukikosa hapo nenda kwenye maduka makubwa ya vipodozi kule kariakoo
 
Back
Top Bottom