Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellow jaman ushauri wenu mimi si mweupe wala si mweusi nipo kati asa nataka ning'ae zaid mafuta gani ambayo nikipaka yataning'arisha yani sio ya kuchubua nataka ya kung'arisha ngozi tu pia ngoz yangu ipo normal sio kavu wala ya mafuta..ushaur wenu plzzz!