Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellow,kuna post humu nilisoma kuwa maji ya rose water hupatikana kwa kuloweka majani ya ua rose na kinachopatikana hapo ndo hayo maji ya rose water,asa nna swali je nikichukua hayo majan nikiloweka hayo maji yake yatafaa kwa matumiz na matumizi yake yatalingana na yale ya dukan yanaouzwa au kuna vitu vingine vya kuongeza kwenye hayo maji?