Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Ndugu wana jamvi, nawasalimu nyote,
Leo ni Jumpili, na maeneo nilipo ni njia inayotumika sana kupita watu wakienda kusali, Jana walipita wasabato nawacheki! Na leo walokole, maana makanisa yao yapo jirani, nawaona sana wakipita, ila kuna kitu nimekiona tangu jana, nikakitafakali sana! Kimenipotezea muda mwingi na kunifanya niwaze mambo mengi.
Kina dada na akina mama wengi wao wanavaa nguo zakuachia, yaani gauni bila kitenge juu, au sketi na blauzi, ila shida ya nguo hizo ni zile zinazobana makalio, kiasi kwamba kila kitu kinakuwa show. Sasa nikikumbuka wadada wanavyovaa wanapokwenda msibani najiuliza, hivi msibani kunahitaji uadilifu kuliko Kanisani?
Au hawa dada na mama zetu, waligundua nini kanisani kinachowafanya wavae nguo fupi halafu za kubana viungo vyao kiasi kwamba wakitembea kila mtu anashawishika kuendelea kuwatazama? Sikuweza kuwapiga picha kwa sababu ya itifaki lakini hii imenipa taabu kwa kweli.
Hebu tuelezane siri ya urembo juu ya hili.