Naomba mnisaidie kuhusu product za oriflame

hulia

JF-Expert Member
Mar 18, 2017
225
230
Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata positive result..
Nb:nimetumia kwa muda usiopungua miaka miwili..
 
Labda una ngozi ngumu,mbona my wife hivyo ndio vipodozi vyake na hua nikienda safari zangu lazima nibebe Kama zawadi nd yuko vizuri sana.
 
Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata positive result..
Nb:nimetumia kwa muda usiopungua miaka miwili..
Huwenda haukupewa bidhaa sahihi au haukupewa maelezo sahihi juu ya bidhaa husika ulizopewa uzitumie...
 
kajaribu vya forever living products labda
Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata positive result..
Nb:nimetumia kwa muda usiopungua miaka miwili..
 
Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata positive result..
Nb:nimetumia kwa muda usiopungua miaka miwili..
Ntajie bidhaa ambazo ushawahi kutumia, na ulikua unatibu nini?
 
Set ya essential...tea tree...novage true perfection..hii set ya novage ndo iliniharibu zaidi..ilhali niliambiwa ndo the best ever set kwa ajil ya chunusi..hizo product zote ni kwa ajil ya oil skin..
 
Back
Top Bottom