Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,212
4,517
Nawasalimu wote wana jukwaa,

Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku.

Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya:

1. Mikoa sahihi kwa biashara hii
2. Faida na hasara za biashara yenyewe
3. Changamoto na fursa
4. Wanunuzi wakubwa wa ng’ombe na mbuzi wa nyama (soko)
5. Chochote ambacho unadhani natakiwa kulizingatia kabla ya kuingia mzigoni.

Natanguliza shukurani.
 
Tembelea Ranchi yoyote ujionee kwa macho yako ujifunze mengi, kuona na kusimuliwa kuna tofauti kubwa

Ni kweli, ila siyo kwamba ndiyo ninaanza kihivyo. Hapa nataka tu kuingia kwa gia kubwa. Mpaka sasa ninafuga mbuzi na ng’ombe ila kwa scale ndogo. Ilikuwa kama mradi wa majaribio, sasa nahisi nipo tayari kuliamsha dude.

Ndiyo maana nataka kusikiliza ushauri wenu pia.
 
UNAFUGIA WAPI?? MAMBO MUHIMU YA KUANGALIA KABLA HUJAINGIZA HIYO GIA KUBWA, MACHACHE YA MUHIMU NI HAYA. MAJI YAPO YA KUTOSHA MWAKA MZIMA, CHAKULA KITAKUWA CHA KUNUNUA AU UTALIMA MWENYEWE AU UTATEGEMEA MALISHO ASILI (JE YAPO), USAFIRI WA KUTOKA NA KUINGIA SHAMBANI MIUNDOMBINU IPO AU HAKUNA, SHUGHULI ZA MAJIRANI NA SHAMBA LAKO (KAMA UTAFANYA FREE RANGE) NI ZIPI, USALAMA WA ENEO ( WANYAMA WAKALI), UPATIKANAJI WA MBEGU ZA MIFUGO. ANGALIA HAYO KWANZA KISHA NDO UINGIE KWENYE UTALAAM/MANPOWER, BAJETI NA MASOKO. MWISHO, UMETAJETI SOKO GANI?
 
Vitu vya kuzingatia
1.upatikaji wa kutosha wa maji,pamoja na mifumo mizuri ya umwagiliaji Kwa ajili kukuzia shamba malisho

2.mbegu bora za wanyama,wanaoweza kufikia uzito mkubwa na wanaostahimili magomjwa

3.wafanyakazi wenye ujuzi(skilled)na wasio na ujuzi(non skilled(
Wenye ujuzi mfano :madaktari wa wanyama(doctor of veterinary medicine and animal health and production officers)
mafundi sanifu maabara ya wanyama(veterinary laboratory Technologist)
Wataalamu wa shamba malisho(range management officers)
Mhasibu(accountancy) na mtu wa uchumi(economist)
Mwendesha mitambo ya umeme mfano trekta
Mafundi mbalimbali mfano wa umeme,maji,magari na mashine

Wasio na ujuzi mfano:wachunga wanyama,
Walinzi wa Ranchi
Walimaji mashamba

4.Sehemu ya kisasa ya kuchinjia(abbatoir unit) au hata slaughtering slab si mbaya Kwa kuanzia

5.Eneo kubwa la ardhi lenye rutuba ambalo si chini ya ekari 1500

6.Mbegu bora Kwa ajili ya shamba malisho

7.Mpangilio mzuri wa njia pamoja na uzio kuzunguka mashamba malisho

8.Sehemu maalumu ya kuhifadhi wanyama wagonjwa Kwa muda fulani(quarantine area)

9.Sehemu ya kupandishia na kushushia wanyama kwenye Ranchi toka kwenye gari(Loading and unloading area)

10.Sehemu ya kutulizia au kushika wanyama(restraining area) Kwa ajili ya matibabu,uchunguzi au kufanya shughuli ndogo ndogo kama kukata au kupunguza pembe

Yote Kwa yote mambo yapo mengi lakini hayo ndo ya msingi zaidi
 
Ushauri mzuri sana. Nashukuru kiongozi.
 
UNAFUGIA WAPI?? MAMBO MUHIMU YA KUANGALIA KABLA HUJAINGIZA HIYO GIA KUBWA, MACHACHE YA MUHIMU NI HAYA. MAJI YAPO YA KUTOSHA MWAKA MZIMA, CHAKULA KITAKUWA CHA KUNUNUA AU UTALIMA MWENYEWE AU UTATEGEMEA MALISHO ASILI (JE YAPO), USAFIRI WA KUTOKA NA KUINGIA SHAMBANI MIUNDOMBINU IPO AU HAKUNA, SHUGHULI ZA MAJIRANI NA SHAMBA LAKO (KAMA UTAFANYA FREE RANGE) NI ZIPI, USALAMA WA ENEO ( WANYAMA WAKALI), UPATIKANAJI WA MBEGU ZA MIFUGO. ANGALIA HAYO KWANZA KISHA NDO UINGIE KWENYE UTALAAM/MANPOWER, BAJETI NA MASOKO. MWISHO, UMETAJETI SOKO GANI?

Nimepokea ushauri kwa moyo mkunjufu
 
Nawasalimu wote wana jukwaa,

Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku.

Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya:

1. Mikoa sahihi kwa biashara hii
2. Faida na hasara za biashara yenyewe
3. Changamoto na fursa
4. Wanunuzi wakubwa wa ng’ombe na mbuzi wa nyama (soko)
5. Chochote ambacho unadhani natakiwa kulizingatia kabla ya kuingia mzigoni.

Natanguliza shukurani.
Mimi ni mfugaji

ushauri wangu======MAJI+ PANDA MALISHO HAKIKISHA UNAUHAKIKA WA KILA MFUGO UTAKAE MFUGA ana CHAKULA CHA MWAKA MOJA PAMOJA NA MAJI ===

ushauri wa PILI===invest kwenye mbegu sio kufuga goat miaka miwili then ana kG 15,,hakikisha una mgegu sahihi

Ushauri wa mwisho+++==== security

Ukifaya hivyo utatoboa, masoko hayajawahi kuwa problem hata kidogo
 
Nakubaliana na wewe.
IMG_9339.jpg

Kwangu mimi, mbuzi wa nyama ninechagua kuwafuga hawa aina ya Galla. Na huyu ni beberu wangu wa zizi.
 
Kuna wadau wamekushauri vyema sana hapo juu sizani kama kuna haja ya kusema sana kikubwa nakuombea kwa Mungu ufanikiwe hitaji lako na uweze kufikia malengo yako unayoyahitaji ktk ufugaji huo, fwata yote uliyo elekweza mengi yamesha semwa. Nakuongezea Moja wapigie MBOGO RACHESE wana programe ya mafunzo kwa wafugaji wachanga na wameimaliza last week 0784 785 784 Mulla, na uingie kwenye page yao ya Instagrame utaona na kujuwa ingine inaanza lini, Mungu akubariki sana.
 
Kama ni ng'ombe fugia kuanzia sumbawanga,mpanda,hasa katavi huko kuna maeneo.

Japo Ningependa ufuge nguruwe ni rahisi na chap chap.
Ndio focus yangu nikipata hela fulani. Nitaanza na eneo la wastan la kutosha nguruwe wasipungue 40. Baadae niwe na eneo la kufugia nguruwe wasipungue 400. Wakifikia 300 unaanza kuwatoa kwa order ya kila siku. Hapo unasafiri kutafuta soko kwenye hotel iwe India,china au hapa hapa nchini. Lengo ni kuchinja nguruwe wasiopungua 10 kila siku na kuwasafirisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom