Mawazo Huru

Mwangajamiitz

Member
Jan 28, 2022
25
70
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo.

Na kila Serikali inapochukua Asilimia kumi kwenye Ghala kuu ya Taifa. Napenda sana Kilimo na Eneo ninalo Kubwa sana ila Sijafanikiwa kupata vitendea kazi.
 
Kwanini nchi nyingi zilizo endelea zinatupa misaada zaidi kwenye sekta ya kilimo, ugani, maji, barabara nk:
Lakini najiukiza kwanini haqatupi misaada kwenye nyanja za viwanda, ufundi, teknolojia nk??
 
Mkuu nisaidie hapa.
Hilo eneo lazima liwe na title deed?
Hilo eneo liwe wapi au popote tanzania
Kwanza masuala ya mkopo wa kilimo unategemeana na zao unalozarisha na ukubwa wa eneo. Mfano, pawatila lazima uwe na eneo kuanzia ekari 20+ na trekta ni 50+, wakati combine harvester ni 70+ lakini lazima uwe na kainzio Cha 20% ya ghalama Kwa NMB, 25% CRDB na taasisi nyingine. Eneo lazima liwe na nyaraka ya inayothibitisha umiliki wako Toka serikali ya Kijiji au mji.
 
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo.

Na kila Serikali inapochukua Asilimia kumi kwenye Ghala kuu ya Taifa. Napenda sana Kilimo na Eneo ninalo Kubwa sana ila Sijafanikiwa kupata vitendea kazi.
Ni wazo zuri Kwa kilimo cha umwagiliaji kinahitaji miundombinu wezeshi kabla ya kuwawezesha wakulima maana mengi yaliyotengwa Kwa aina hiyo ya kilimo ni kama yametelekezwa.
 
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo.

Na kila Serikali inapochukua Asilimia kumi kwenye Ghala kuu ya Taifa. Napenda sana Kilimo na Eneo ninalo Kubwa sana ila Sijafanikiwa kupata vitendea kazi.
Miaka kama 40 iliyopita serikali ilianzisha vijiji vya ujamaa, model iliyoigwa na kubadilishwa kidogo toka china, Russia na Israel..
Wanakijiji walipewa vifaa vya kilimo km trekta na mashine nyinginezo bila kusahau wataalam wa kilimo.

Kulikuwa na mashamba darasa yaliyoitwa mashamba ya Kijiji..

Walianzishiwa vyama vya ushirika ambavyo vilipewa vifaa vya kutosha km maghala, maroli, Benki ya ushirika n.k

Walijaribu kutengeneza mazingira rafiki kwa uzalishaji mpaka kufikia serikali ilijenga viwanda vya kuchakata mazao....
.
.
.
kwa ufupi model ilikuwa dhaifu labda tuangalie mbadala kwa kuisoma ya awali.
 
Back
Top Bottom