Kama wenye PhD ya Aquaculture hawana hata bwawa la samaki, mimi nitaweza vipi?

GOLD BOY

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
286
304
Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato wanatufundisha sisi tusome tujiajiri kivipi!? Kama wewe na phd yako huna hata bwawa la samaki mm nitaweza vipi?

Dunia ya sasa inaenda kasi sana kwenye technolojia, tutaweza vipi kumudu mapinduzi hayo ikiwa mmetupatia mafunzo too old hakuna cha teknolojia wala nini tufungie kwenye mapond ili hali nchi za wenzetu hawafanyi hivyo.

Mwisho Elimu ya bongo ni miyeyusho tu
 
Mm prof kama hana mradi siwez sikiza ushauri wake kbs
Kabla ya kulaumu ni vema ukajua majukumu mtu mwenye Phd yepi.Mtu mwenye Phd si mtu wa kuzalisha,huyu ni mtafiti na kazi yake kubwa ni kusafiri na kutembelea sehemu mbalimbali kuangalia nini, vipi na kwanini watu wanafanya halafu analinganisha na kutoa matokeo na kushauri nini kifanyike. Kazi ya kuzalisha inafanywa na watu wenye CERTIFICATE na Diploma wakisimamiwa na Degree holder. Labda km unataka kuja na utaratibu wako.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Fact mzee, pale sua kuna phd holder miaka yote wapo tu wanafanya utafiti gani?
 
Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato wanatufundisha sisi tusome tujiajiri kivipi!? Kama wewe na phd yako huna hata bwawa la samaki mm nitaweza vipi?

Dunia ya sasa inaenda kasi sana kwenye technolojia, tutaweza vipi kumudu mapinduzi hayo ikiwa mmetupatia mafunzo too old hakuna cha teknolojia wala nini tufungie kwenye mapond ili hali nchi za wenzetu hawafanyi hivyo.

Mwisho Elimu ya bongo ni miyeyusho tu
unataka kujifunza hiyo kitu vizuri. nenda nigeria au south africa au hata hapo malawi kwanza hawana tabia ya kubania watu wasi graduate
 
Mkuu kama una nia ya kufuga samaki kwa gharama ndogo usikate tamaa mbona kuna vikundi kwenye mitandao vinatoa ushauri katika changamoto zinazowapata mwanakikundi.
Pia U tube ,AI,google n.k kuna mafunzo mbali mbali juu ya ufigaji wa samaki.
 
Waafrika kitu pekee tunachoweza kufanya kwa ubora kabisa basi ni KULALAMIKA KUKOSOA KUPINGA

Yaani sisi kazi yetu ni moja tu...... kuangalia NEGATIVITY tu kwenye kila kitu
 
Back
Top Bottom