Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa. Niefikiria kuweka...
12 Reactions
103 Replies
8K Views
Afrika Kusini mzalishaji mkubwa wa mahindi Afrika inatarajia kuweka rekodi Mpya ykuzalisha Nafaka hiyo kufuatia uzalishaji wa Tani milioni 16 ikipita uzalishaji wa mwaka Jana tani mil.15. Kwa...
9 Reactions
99 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari zenu.. nahitaji maoni na ushauri katika hili. Nahitaji kununua pori walau ekari 50 niligeuze shamba mkoani morogoro; ni wilaya gani mkoani morogoro ina ardhi nzuri hasa kwa...
6 Reactions
21 Replies
753 Views
Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa — matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha. Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua: 👉 kasi ya ukuaji 👉...
1 Reactions
6 Replies
431 Views
Habari JF Nimeamua kufanya maandalizi ya kustaafu kabla ya muda na kuachana na hizi kazi za ofisini ndani ya miaka 5 ijayo. Hatua ya kwanza nimeona ni kununua shamba walau ekari 10 kwa ajili ya...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Iko hivi wadau. Katika kubadilishana mawazo na mdau mmoja, nikampa wazo kwamba baada ya kuvuna mahindi sasa tugeukie kilimo cha mali mbichi hususan Kitunguu maji. Malengo ni kwamba at least mwezi...
5 Reactions
20 Replies
642 Views
Great thinkers. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane. Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji...
22 Reactions
232 Replies
17K Views
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwaka 2025/26, Tanzania imezalisha takribani tani 71,356 za mbegu, zinazokidhi karibu asilimia 79–81 ya mahitaji ya mbegu nchini. Hatua hiyo imepunguza utegemezi wa mbegu kutoka nje hadi takribani...
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Kila Mfugaji wa Kuku anaelewa kwamba karibia 70% ya matumizi huwa ni Chakula cha Kuku, Lakini cha kushangaza ni wafugaji wengi wanalisha Kuku waliokufa. Kipindi naanza Ufugaji wa Kuku nilijiuliza...
4 Reactions
16 Replies
358 Views
Habari za mda huu wanajamvi, samahani ninauliza Bei ya tray moja ya mayai Kwa kahama, kama Kuna mtu anafahamu?
3 Reactions
4 Replies
119 Views
Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako. Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗨𝗭𝗔 𝗥𝗧𝟭𝟱𝟱 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 🔥 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨, 𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗜𝗦𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢! RT155 Power Tiller ya mikono mirefu inapatikana muda wowote kwa wakulima wanaotaka...
1 Reactions
1 Replies
128 Views
Habari Tanzania! Haya leo naongea na nyinyi Wataalamu wa Mifugo. Kwanini muweze kwenye Kuku na vipi kuhusu hivi vitoweo kama Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo tukawafanyia miujiza kama hao Makuku bwege...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa. Ikiwa utapata...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Hello habari. Kampuni ya KENI AGROPARK LIMITED inawakaribisha wote wenye maduka ya pembejeo(agrovets) pamoja na wakulima binafsi kuweza kujipatia mbegu bora za mbogamboga zilizothibitishwa...
7 Reactions
37 Replies
980 Views
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, nadai malimbikizo ya mshahara wa 2024 na nikishajaza form nikaambiwa imetumwa hazina lakini ni mwaka wa pili Toka niambiwe hivo mpaka Leo...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Habari zenu wana Forum, Leo wakati natembea nimekuta chungu kizuri sana kimefunikwa njia panda. Nilivyokiangalia, ndani kilikuwa na mabaki ya madawa fulani hivi ya kienyeji na bado kiko kwenye...
1 Reactions
8 Replies
115 Views
My Take Nilitoa ombi Kwa mamlaka la kumteua Makonda Wizara ya Kilimo lakini halijafanikiwa. Narudia tena kuwaombea wahusika watubadilishie Uongozi wpale Wizara ya Kilimo Kwa sababu walioko...
1 Reactions
9 Replies
172 Views
Zao la nazi pia hujulikana kama mti wa uzima kutokana na kuishi kwa muda mrefu. Kilimo cha minazi ni uwekezaji mkubwa kwa sababu mkulima anaweza kurithisha hata kizazi chake. Kwa bahati mbaya...
8 Reactions
50 Replies
8K Views
Back
Top Bottom