Ugawaji wa pembejeo za kilimo kwa zao la Korosho kuna ulakini, Mamlaka ya Bodi ya Korosho wanasema zipo za kutosha lakini huku vijijini hatupati, yaani wengine hatujapata lakini hata baadhi ya...
Kilimo kina mabadiriko kila kukicha na hii inatokana na teknologia kuwa juu, na jambo zuri sana hasa ukitambua umuhimu wa kwenda na mabadiriko hayo' pia ni vyema ukawa na ufahamu wa kutosha kuhusu...
Wengi tunadhani tutakumbuka tarehe za Kuku wetu chanjo kichwani,lakini sio kweli , Kama Young Lunya alivyosema "Kichwa kina vitu vingi"
Ukweli mchungu ni kwamba unaweza kusahau kuwapa kuku wako...
Sisi vijana wa BBT Wilaya ya Maswa tunasikitishwa na sintofahamu inayohusu malipo ya stahiki zetu halali za utendaji kazi katika mambo makuu mawili:
Ukiukwaji wa Mikataba ya Matrekta: Tulisaini...
Habari wanajamvi.
Kuna maeneo ardhi haikubali kustawisha zao fulani na wakati huo hilo zao linalohitajika sana katika eneo la wakazi husika.
Mimi niko eneo ambalo ni udongo kichanga sana, mazao...
Habari WanaJF
Kuna idea nimepata ya kuanzisha kilimo cha mbogamboga kwenye eneo la ekari moja na nusu.
Nataka kufanya kisasa kwa mtaji wa 2M. Nimwagilie kwa drip irrigation. Bamia,Chinese...
Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
Girolando ni...
Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum.
Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu.
Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china.
Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
Habarini wana JF.
Nimepanda ukoka katika eneo langu nyumbani. Changamoto niipatayo ni aina gani nzuri ya mbolea ambayo utafanya ukoka uwe mzuri na wenye afya na kuvutia?
Kwa wale wataalam wa...
Wana JF,Za masiku?
Watu wengi wanatamani kuanza Ufugaji wa Kuku na wanatamani wakianza kufuga Kuku wasikutane na majanga ya Kuku zao Kufa au Kudumaa au ukuaji hafifu!
Ukija kuangalia watu...
Wakulima wa tumbaku wa MWEMBENI AMCOS iliyopo kaliua kijiji cha Wachawaseme, tumedhulumiwa pesa zetu, tumebambikiziwa madeni.
Kibaya zaidi wameitwa baadhi ya wakulima wakasainishwa hela wengine...
Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka...
Hatua za kufuata ukitaka kulima nyanya chungu
Nyanya Chungu ni zao la Kitropic linalotoa mazao yake kama matunda au kama mboga. Rangi ya matunda huwa kijani kibichi au kijani-njano, au...
Jamani naombeni msaada nimepanda majani ya ukoka nyumbani kwangu ili niwe na bustani nzuri inayovutia na ukijani mzuri majani niliyopanda ni yale madogo madogo ambayo hayaendi juu yanakua kama...
Mpendwa mwana JF, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa.
Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya...
Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne...
Imekuwa changamoto kubwa kwa wazalishaji wa mbegu wa ndani na wakulima wa Tanzania.
Inawezekanaje jukumu la msingi la taasisi husika kutotekelezwa ipasavyo?
Wazalishaji wa ndani wanakabiliwa na...
Uvuvi wa bahari kuu kwa nchi yetu unafanyika kwa kiasi kidogo sana tunakosa mapato,samaki wa kubwa na nafasi za kazi.
Serikali iliruhusu kampuni za wazawa kufanya ubia kwa kukodi au kushirikiana...
Habari zenu,
Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.