Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,131
- 35,173
Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi?
Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni bora zaidi?
Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni bora zaidi?