Wakuu nimekwama hapa, sim card yangu imesajiliwa kutumia Huduma ya sim banking na kila mara naitumia kucheki balance, kuhamisha fedha na hata kununua Salio la muda wa hewani, sasa Leo kila...
Habari wakuu naomba msaada kama nilivofafanua hapo juu.nashindwa kuscreenshot kama ilivyo kwa samsung zingine, mfano ile ya sensor na ile ya kubonyeza power switch na ile ya volume.
sijui nakosea...
Wakuu nauliza je hzi window defender za window eight na ten naweza kuzitegemea katika ulinzi wa pc yangu?
Matumizi yangu ni mtandaoni kidogo sio sana maana hata nikiingia ni saa moja na webs mara...
Soma Tangazo letu hapo tunapatikana morogoro watu wote walioko town wanaweza kuwa karibu nasi tuko mazimbu campus/sokoine university
Natengeneza na kuweka software. Mbalimbali kwenye computer...
Habari wanaJF, nipo kwenye maandalizi kama video inavyojieleza. Nia na madhumuni ni kufundisha wed development na namna ya kutengeneza wordpress blog yeneye muonekano mzuri.
Ni hivi, natumia simu aina ya Samsung J1 ace ambayo nilipewa na mtu tu, ila katika historia ya hii simu iliwahi kuangushwa jambo ambalo limefanya mpaka leo simu inafanya self commands, inajitouch...
Naomba msaada wakuu kwa anyejua jins gan naweza kuconnect TV yangu ya LED ya LG jins gan naweza kuiconnect na home theater aina ya sony.. kama nikiweka flash kwenye tv bila kutumia HDMI... port...
habari developers am trying to connect the access database in visual studio am getting this error
microsoft.ace.oledb.12.0 is not registered on the local machine
any help on how to troubleshoot it...
Kama maada ilivyo hapo juu nina simu yangu Huawei ascend g7, niko nayo kwa mda wa miaka mitatu ilikua ikisoma usb cable mara tu nichomekapo kwa kifaa kingine ajabu imeacha kusoma yapata mwezi sasa...
Salam wanabodi wa jukwaa la Teknolojia.
Kuna jamaa yangu mmoja ameniambia kuwa kipindi cha nyuma alikuwa na smartphone tajwa hapo juu na ilikuwa na baadhi ya haya mambo:-
1. Mtu anapompigia...
Habari waungwana!!! Naomba msaada wa kujua ni software gani nzuri kwaajili ya kuchoma dvd na ibaki ktk ubora uleule? Nimetumia Ashampoo na Nero lakn bado cjaridhika na ubora wa dvd,japo video...
Clash Of Clan...
Tunaocheza hii game naomba tukutane Hapa Jamani tupeane Maujanja... Maana nimekuwa nikicheza for couple Of Month lakini nakutana na changamoto kibao... Tusaidiane...
Ni mara ya pili sasa inanitokea ninapoomba huduma ya kopa salio naambiwa sijakidhi vigezo na sipewi mkopo, lakini cha kushangaza nikiweka vocha nakatwa fedha ambayo sikupewa, piga customer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.