Msaada; Toshiba satellite Radius L10W-C 2019

CompaQ

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
281
133
Tafadhali naombeni msaada tutani Laptop Toshiba satellite Radius L10w-C2019 haifanyi Booting kwa kupitia Flash.
msaada wa Haraka unahitajika kila niki bonyeza F 12, nimejaribu pia F2, ESC zote hizo hazifanyi kazi.

tafadhali msaada wa haraka niweze ku ingiza windows.
 
Toshiba siyo laptop bali ni nightmare!........Mkuu pole kwa kununua nightmare badala ya laptop!
 
Toshiba siyo laptop bali ni nightmare!........Mkuu pole kwa kununua nightmare badala ya laptop!
mtaalam sijakulewa maana ya kuwa si Laptop ni Nightmare nachohitaji nipate msaada wa kufanya Boot tafadhali.
 
Ukiwa kwenye BIOS settings, change boot device from hard disk to external disk...

also, hakikisha your flash disk is bootable. isipokua bootable, it won't work

NB: Toshiba is a very good machine!
 
Tafadhali naombeni msaada tutani Laptop Toshiba satellite Radius L10w-C2019 haifanyi Booting kwa kupitia Flash.
msaada wa Haraka unahitajika kila niki bonyeza F 12, nimejaribu pia F2, ESC zote hizo hazifanyi kazi.

tafadhali msaada wa haraka niweze ku ingiza windows.
Nichek 0718 290779 kama upo dsm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom