Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, Kwa muda mrefu nilikuwa nimekuwa nikitafuta namna ya kuzipata SABC (South Africa) channels bure. Nilichokijua ni kwamba SABC zilikuwa zikipatikana Bure kupitia satellite ya Intelsat...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa jinsi ya update Galaxy note 5,
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Natanguliza shukurani za dhati, Mimi ni Mara Yangu ya kwanza kuagiza mzigo kutoka China. Mzigo umetumwa kwa express juzi na nimepewa tracking number. Sasa nitajuaje mzigo wangu umefika? Naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau! Msaada tutani! Nilinunua saa mtandaoni kwenye hii site mvmtwatches.com. Yapata mwezi na nusu sasa sijapata mzigo wangu! Nimejaribu kufuatilia lkn nimejibiwa kuwa mzigo ulipotea kwenye...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Ndugu wana JF,kwa wale wapenda maendeleo,kama mujuavyo nchi yeyote haiwezi kuendelea kama watu wa IT hawatojitolea kwa hali na mali zao. Kuzingatia hayo,nimekuwa na wazo hili ambapo,nitadevelop...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna kitu nataka kuuza ebay, nafikiria njia ipi bora ya kupokea hela yangu. Nina kadi ya Payoneer, Visa na Mastercard. Wataalamu naomba ushauri. Copy: Chief-Mkwawa WAHEED SUDAY Kang nk.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naombeni msaada na samsung s3 ila internet inafanya kazi only kwenye program kama facebook watsap na google play !! ila kwenye Browser instagram , chrome. , opera azifunguki inaandika internet...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nitajuaje kuwa hii kitu chini ni genuine/original and not a copy from unknown source. Hii niliyonayo ( mtu anauza na kudau kuwa ni original) imetengenzwa Vietnam Samsung Galaxy Tab S 8.4" SM-T705...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu process za kubleach karatasi...mfano kubleach gazeti kuwa karatasi ambayo haina maandishi yoyote
1 Reactions
3 Replies
804 Views
Je ninaweza ku flash rom ya tecno y3 kwenye tecno y3+ specification zake zote zinalingana. Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji kufahama jinsi ya kuupdate Galaxy Note 5, ni hatua gani za kufuata ili niweze kufanya hivyo?
1 Reactions
0 Replies
551 Views
Wakuu habari zenu. Wakuu naomba msaada kwa wataalamu Wa computer, kila nikiingia internet either kupitia Google chrome ama Nozila firefox inaload sana baadaye ninaambiwa page is irresponsive or...
0 Reactions
4 Replies
724 Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo nina receiver ya media com 930 sijui nianzie wap hasa kwenye setting yake namna ya kuweka ayo mafrequence naomba ambaye anatumia anielekeze ikiwezekaka anitumie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamiiforum Napenda kuchukua nafasi Hii kuwakaribisheni Wote kutembelea SMARTPHONES TANZANIA Website Mpya kabisa iliyoanzishwa kusupport watumiaji wote wa smartphones kwani ni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanIT, naomba mwenye key ya navicat msaada.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Natafuta fundi mzuri na anaejielewa wa LED tv yangu. Ina miaka miwili na ushee ghafla juzi imeanza kuonesha nusu screen mistari chenga chenga na nusu ingine inaonesha clear...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Wakuu habari za muda. Nina invetor ya watt 300. Betri ( EXIDE ) N150. Pia nina pannel original kabisa ya watt 100 ( From Germany) Niliunganisha hivyo vitu na nikawa napata umeme vizuri kabisa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni jana tu nilikuwa nimefungua laptop yangu natazama Movie gafla nipo katika kutazama Ikakata Sauti mpaka sasa sielewi tatizo ni nn.. Masaada pliz kwa Mwenye uelewa kuhusu hili tatizo
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Nimejaribu kuweka chip ya Voda 4g kwenye Aple Ipad 2 na imekataa kusoma tatizo ni nini? Wataalam naomba msaada wenu tafadhali. Nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Back
Top Bottom