Msaada wa haraka kuhusu mashine ya kupima gari

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,151
Habari?
Kwa wale wataalamu wa magari unapoweka mashine ya kupima gari na kupata matokeo haya tatizo linakuwa ni nini na linatatuliwa vipi?
Si mnajua mambo ya mafundi akitoka hapo anapiga mpunga mrefuuu kwa kutokujua kwetu.
Nasubiri majibu ..
asanteni
db562252c999543e60b0da7084913f1c.jpg
 
Engine coolant temperature sensor ina matatizo/imekufa.
Siku ingine ukipewa hio namba jusr google Fault code p0117 utapata jibu.
 
Engine coolant temperature sensor ina matatizo/imekufa.
Siku ingine ukipewa hio namba jusr google Fault code p0117 utapata jibu.
Asante prondo
kumbe fundi hakufanya usanii
Gari iliwahi kuchemsha kuna pipe ilikatika ikawa inavujisha maji....
iko. Resolved
 
Asante prondo
kumbe fundi hakufanya usanii
Gari iliwahi kuchemsha kuna pipe ilikatika ikawa inavujisha maji....
iko. Resolved
Hio sensor iki-sense temperature ya coolant iko juu ina-send signal radiator fan linawaka kupooza coolant hence engine. Isipofanyakazi gari inachemsha na matokeo yake ndio pipe zinaweza kupasuka au kuunguza cylinder head gasket au cylinder head yenyewe kupinda. i hope sijaku-overdose.
 
Back
Top Bottom